Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hahahahaahahahahahah.Hapo ulipo una stress za maisha yako ukichanganya na stress za Arsenal unayafanya maisha yako yawe mafupi si Bora tu uamie team nyingine.
Relief Mirzska Mzee naona unauwelewa mdogo sana kuwa na stress haimanishi mpaka uwe na umasikini unaweza ukawa na fedha kiasi au tajiri na pia ukawa na stress.Stress inajumla ya mambo mengi ikiwemo mapenzi na ndoa kiujumla ( Migongano ndani yake,kukosa mtoto),Kazi mfano mzuri unaweza ukawa na kazi nzuri lakini hiyo kazi haikupi muda wa kupumzika hii pia inaleta sometimes stress, Kutokuwa na uhusiano mzuri na wazazi wako au kufiwa na wazazi hii pia inaleta stress atakama una hela,Kutengwa na familia n.kHahahahaahahahahahah.
Kwa sababu sote tunatumia fake ID. Just for your information, mimi ni mteja wa DSTV compact and that should tell you a lot about me. For the past 5 years I have travelled to more than 10 countries in the world for holidays huo ni wastani wa nchi mbili per year.
Usione kila mtu ana njaa kama wewe boyaaa
Comment yako ya kwanza umeiandika ki dharau sana. Sikutaka kujisifia mkuu lakini inabidi tuelezane tu sometimes.Relief Mirzska Mzee naona unauwelewa mdogo sana kuwa na stress haimanishi mpaka uwe na umasikini unaweza ukawa na fedha kiasi au tajiri na pia ukawa na stress.Stress inajumla ya mambo mengi ikiwemo mapenzi na ndoa kiujumla ( Migongano ndani yake,kukosa mtoto),Kazi mfano mzuri unaweza ukawa na kazi nzuri lakini hiyo kazi haikupi muda wa kupumzika hii pia inaleta sometimes stress, Kutokuwa na uhusiano mzuri na wazazi wako au kufiwa na wazazi hii pia inaleta stress atakama una hela,Kutengwa na familia n.k
Wewe kweli ni dependent mpaka katika kufikiria....Football is interesting isn't? Man United wanted Chelsea to lose on other hand Liverpool wanted Chelsea to win there is Arsenal don't know what is want
Will jr DullyJr Aaron Arsenal
Siafiki kabisa kuachwa kwa huyu dogo ktk kipindi hiki, madogo wa kuachwa ni kina Wilock na NilesMoja ya makosa makubwa yatakayofanyika under arteta's stewardship ni kuondoka kwa Guendouzi.
Hii itakuwa ni sawa na ishu ya Gnabry au ox.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, ni Guendouzi ndio ameuambia uongozi wa Arsenal kwamba hatoiacha offer itakayokuja. Na wala sio Gunners kumwambia au hata kuonesha ishara kwamba hana nafasi Arsenal.
Guendouzi ameona sera za timu hazina mashiko kwenye mpira wa sasa na wala hana haja ya kupoteza muda wake Arsenal.
One of the very talented midfielder of the current time.
Wanazingua, don't learn from their stupid mistakes,hapo wanapiga hesabu za beki wa ligue 2,Arsenal now hatuhitaji beki wa kumjaribu, tunatakiwa tupate beki aliyeprove anaweza.Hivi kama timu ina mipango kweli unamuachaje beki hatari na upcoming kama Hakimi mpaka anaenda Inter kwa bei cheee?alafu wewe unasajili Cedric?khaaaaaa.....
Unaachaje Dayot mpaka Chelsea nao wameingia na watamchukua naamini
Acha aende hana discipline, ni promising player ila anajiona km yupo peak now.Moja ya makosa makubwa yatakayofanyika under arteta's stewardship ni kuondoka kwa Guendouzi.
Hii itakuwa ni sawa na ishu ya Gnabry au ox.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, ni Guendouzi ndio ameuambia uongozi wa Arsenal kwamba hatoiacha offer itakayokuja. Na wala sio Gunners kumwambia au hata kuonesha ishara kwamba hana nafasi Arsenal.
Guendouzi ameona sera za timu hazina mashiko kwenye mpira wa sasa na wala hana haja ya kupoteza muda wake Arsenal.
One of the very talented midfielder of the current time.
Kwa sasa EPL tutaendelea kuona majirani wanachukua mpaka siku Tottenham Hotspur atakapobeba ndio akili za viongozi zitawarudi ila kwa sasa tutaendelea kushiriki ila sio kubeba makombeWanazingua, don't learn from their stupid mistakes,hapo wanapiga hesabu za beki wa ligue 2,Arsenal now hatuhitaji beki wa kumjaribu, tunatakiwa tupate beki aliyeprove anaweza.
Nakubaliana nawe kuuSiafiki kabisa kuachwa kwa huyu dogo ktk kipindi hiki, madogo wa kuachwa ni kina Wilock na Niles
Kitendo cha kumpa mkataba Luiz na Cedric alafu kumuacha Mateo ni ufala
Mkuu tunaleta wachezaji 3 wa maana this window kuadress matatizo ya msingi, that's why tukawapa mikataba kina pablo ili wasitutoe kwenye reli, Save hii comment yangu.Hahahahahakaka embu jifinye kwenye paja kama utasikia uchungu, inawezekana unaota
Mkuu, Soares usimunderstimate kihivyoo,km hatokua injury prones basi bellerin bench linamuita maana kaflop vibaya mno.Hivi kama timu ina mipango kweli unamuachaje beki hatari na upcoming kama Hakimi mpaka anaenda Inter kwa bei cheee?alafu wewe unasajili Cedric?khaaaaaa.....
Unaachaje Dayot mpaka Chelsea nao wameingia na watamchukua naamini
Na mimi mashaka yangu yapo hapo hapo sasa, maana mpaka mkopo umeisha hajacheza hata game moja, sisi tunaponzwa na mawakala amini hivyo......Mkuu, Soares usimunderstimate kihivyoo,km hatokua injury prones basi bellerin bench linamuita maana kaflop vibaya mno.
Na jamaa wapo tayari kuchukua kwa awamu katika vipindi vitatu,lakini kwakuwa PSG, na Milan wameingilia dili hapo tusahauArsenal are in advanced talks over a potential deal to sign Dominik Szoboszlai this summer but face competition for the £22.7m-rated RB Salzburg midfielder, according to reports in France via Football London.