Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huko hawachelewi #Artetaout, watu wana hasira, ila kwa hili wachezaji wanatukosea sana mashabiki,unaweza jiuliza kwa nini Arsenal waligoma kumpa mshahara mzuri Ramsey kwa midfield hii,Ozil hatumiki ok basi muuze mshahara wake mpe Ramsey
Hawa watu wa board yetu nao wana shida kubwa tu.
 
Pole sana mkuu, ulikuwa sahihi kushika, ila ulikosea kujimwambafy
 
Kocha hana shida kapewa zigo la miba, nimegundua hata Emery hakuwa na shida kivile tulimuonea tu
Bwana weeee yule muhindi ni hovyo kabisa ndio aliyeshiriki kuharibu timu,yule ndio kirusi kabisa alisababisha Sven akasepa....amezingua sana yule nae ni sababu ya sisi kuwa hapa tulipo.....
 
Kama huamini kocha wetu sio kocha anatembelea kivuli ngoja mechi zilizobakia za wolves,Liverpool na Tottenham Hotspur kati ya hizo mechi 3 yoyote atakayoshinda ntaamini yupo vizuri na next season up to 10 games tutakuja kushtuka tushachelewa
Huyu kocha kapewa zigo la mavi ahangaike nalo,
 
Record ya Arteta Ugenini katika mechi 7 ni

Win 0
Draw 5
Loss 2

Ina maana Arteta ana point 5 katika mechi 7 za Ugenini, equivalent to 0.7 point per game. In a long run, Arteta is likely to get 13.5 ie 14 points for away games all the season.
A lesson learned here, "You shouldn't take a driver under instruction and handle him/her an ambulance".

Arsenal is in critical condition, it therefore needed an experienced Doctor and not an Intern. Remember, Arteta is not Guardiola! He might be having football brain (knowledge) but experience matters.

I see Arsenal (the Gunners) becoming even more worse under the Spaniard tactian.
 
Kuna utofauti wa kuwa coach na manager.

Anaweza kuwa ni coach mzuri ila hafai kuwa Manager.

Manager mzuri anaonekana bila hata World Class player. Mifano ipo.
 

Ukweli ambao wengi wao hapa hawapendi kuusikia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…