Kwani wewe nani alikuchagulia kushabikia liver mkuu?Aaron Arsenal kajificha kukimbia lawama za washabiki.
Hivi inakuaje mtu unachagua kushangilia timu kama Arsenal!
Mimi naona hizi shida mnajitakia wenyewe
Kwani wewe nani alikuchagulia kushabikia liver mkuu?
Hata Blackburn Rovers na Aston Villa zina mashabiki pia.....soka halipo hivyo
Sasa mbona sijakuona kupeleka hongera na pongezi kule katika uzi wa manchester city?MANCHESTER CITY Mkuu.
Kwani wewe unapenda kukaa 30 yrs bila ya ubingwa wa ligi kuu?hauteseki?hahahahahaNdiyo mjifunze kuchagua kilicho bora.
Sasa ona mateso yanayowakuta.
PankiNaomba mnisaidie, hv makocha uwa wanaona nini ambacho sikioni kwa willock?
Kwani wewe unapenda kukaa 30 yrs bila ya ubingwa wa ligi kuu?hauteseki?hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmm**eeeKusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole
Hii timu tetesi tangu kipindi cha Wenger ila hamna kitu hii timu [emoji23][emoji23][emoji23]Kusajili hatusajili kila siku Aaron anakuja na story za kupamba pamba mara huyu kakataa kusign anakuja Arsenal mara sijui nini Giants wenzetu hawapambi wao wanasajili direct,we like to hear those beautiful stories za kupamba pamba za Aaron mwenzetu ila hatuna kocha hatuna wachezaji timu ipo ipo kama binti anayetongozwa huku ananyonya vidole
Na mimi nilikuwa najipoza na EPL mkuu,Mimi nilikuwa najipoza na UEFA.
Sasa kazi kwako, ligi hupati na UEFA hupati. Tena hata kucheza UEFA mtasahau.
Una roho ngumu kutaka dealdone kwa jiraniTell them brother. Tunataka kuona neno DEAL DONE sio ngonjera nyingi za tetesi