Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HiKi KiJaMaA sIjUi KaMa KiTaRuDi TeNa HaPa....


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ha! Umeanza kumlaumu Aaron Arsenal?
 
Hahahahaha.

Kwahiyo mkuu lawama zote zimuendee aron???
 
Mimi lengo langu ni tumalize top 10 tu mengine ya sijui top ngapi siyatilii maanani.Tupo wa 9 sahivi tumecheza gemu sawa na wapinzani wetu.
Ila Mikel my coach dah!,Sasa Willock na Guendozi wanapambanaje na kina KDB na Sterling😆😆😆
 
Kwa mechi zilizobakia naona tutafanya vibaya sana tuna game nyingi ambazo naona hatutapata matokeo chanya, tatizo la arsenal ni wachezaji ila mostly line ups za makocha wetu tangia kipindi cha mwisho cha Wenger hadi sasa huwa ni za utani kwa sasa Arsenal haina dira inahitaji kuombewa dua nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…