msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,681
- 8,789
Hivi nyie hamfanyi usajili kwani?
Picha niliyopost huyo ni mchezaji wa zamani wa Arsenal anaongelea hili suala pia ukimsoma utamuelewaLete hiyo habari hapa tuone aliposema anaondoka?
Bado hawajamaliza deni la komredi kipepeHivi nyie hamfanyi usajili kwani?
Dharau za nn tena .....kwani hakuna uwezo wa kumnunua Timo?????Hahahahahahahahah Acha dharau kijana.
Kwani ni wakala wa Auba??,si hata mimi naweza kuongea tu Aubameyang anataka kuondoka,nipe habari aliyosema Yeye mwenyewe anataka kuondokaPicha niliyopost huyo ni mchezaji wa zamani wa Arsenal anaongelea hili suala pia ukimsoma utamuelewa
Sikiliza Auba hajasema kama anataka kusepa ila mpaka sasa anaweza kuondoka na kutuachia timu yetu naona haukunielewa labda ila lolote linaweza kutokea na Arteta kasema next week ataongea na Auba kuhusiana na Mkataba sasa kama hatasign kuna mawili auzwe tupate hela au aondoke bure ila kitendo cha kukaa kimya Nina uhakika 70%Auba atasepaKwani ni wakala wa Auba??,si hata mimi naweza kuongea tu Aubameyang anataka kuondoka,nipe habari aliyosema Yeye mwenyewe anataka kuondoka
Vipi kwa Saka mbona naye yupo kimya kwa hiyo ataondoka?Sikiliza Auba hajasema kama anataka kusepa ila mpaka sasa anaweza kuondoka na kutuachia timu yetu naona haukunielewa labda ila lolote linaweza kutokea na Arteta kasema next week ataongea na Auba kuhusiana na Mkataba sasa kama hatasign kuna mawili auzwe tupate hela au aondoke bure ila kitendo cha kukaa kimya Nina uhakika 70%Auba atasepa
Sikweli ,ni mtizamo wako lknHii timu akiondoka Aubameyang itakuwa na wakati mgumu sana
Kijana tulia hatuna shida na striker sisiAccording to @gokmenozcan, Timo Werner is close to signing for #Arsenal for a fee of €54.9m.View attachment 1469202
Vipi kwa Saka mbona naye yupo kimya kwa hiyo ataondoka?
Mchezaji kama Aubameyang kukaa kimya anashinikiza vitu vingi, kwa maslahi ya timu na yake pia ila sio kuwaza tu kuondoka.
If Auba leaves, ideally the club would like to bring in a younger forward and have been watching Odsonne Edouard this season. Jonathan David is also a player on Arsenal’s shortlist, while Lyon’s Moussa Dembele is a player the Gunners have been long admirers of. [@charles_watts]Hii timu akiondoka Aubameyang itakuwa na wakati mgumu sana
Hatusajiri kwa kufata mkumbo ,tunasajiri kwa mahitaji ya klabu ,na dirisha bado hata kufunguliwaHivi nyie hamfanyi usajili kwani?
Ndugu, Kwa kuwa Auba hajasign contract umesema anataka kuondoka, nimekuuliza na Saka vipi mbona hajasign na yeye anataka kuondoka?, Wewe Unataka kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo, ndio maana mwanzo nlikuuliza umejuaje kama Auba anataka kuondoka ArsenalSaka na Auba ni vitu viwili tofauti Auba anachezea timu yoyote ile kubwa duniani na umri ushaenda ila Saka anajua Arsenal ndo sehemu ya kutangazia kiwango chake
|| Lassana Camara (@LassanaWelt - Reliable for African Football), says Thomas Partey is preparing to engage with Arsenal.
Umemueleza vzrNdugu, Kwa kuwa Auba hajasign contract umesema anataka kuondoka, nimekuuliza na Saka vipi mbona hajasign na yeye anataka kuondoka?, Wewe Unataka kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo, ndio maana mwanzo nlikuuliza umejuaje kama Auba anataka kuondoka Arsenal