Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ili kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao na Ligi ya Europa, timu italazimika iwe kwenye viwango vya juu vya ubora wa mashindano ya UEFA.

Maafisa wa juu wa Shirikisho la soka barani Ulaya leo wamekutana tena kujadili juu ya athari zinazoongezeka za janga la Corona.
 
Thomas Partey's agent:
- We talk to Thomas's father every day
- We affirm that all the statements that Thomas's father made are totally false.
- We have been at Atlético for many years and if it had been for money we would no longer be at Atlético
 
Exclusive: Arsenal are ready to listen to offers for star striker Pierre-Emerick Aubameyang.
 
Breaking dk 52 zilizopita aubameyang anabaki arsenal


Source: baba yake
IMG-20200424-WA0036.jpeg
 
Cedric Soares amesema angependa kubaki Arsenal baada ya msimu huu kuisha japo toka aje arsenal kwa mkopo hajawahi kucheza hata mexhi moja kutokana na kuwa majeruhi.. Mkataba wake na Southamptom unaisha june msimu huu!.. Hivyo tunaweza kumpata bure kabisa huyu jamaa ili qkagombanie namba na bellerin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi
Cedric Soares amesema angependa kubaki Arsenal baada ya msimu huu kuisha japo toka aje arsenal kwa mkopo hajawahi kucheza hata mexhi moja kutokana na kuwa majeruhi.. Mkataba wake na Southamptom unaisha june msimu huu!.. Hivyo tunaweza kumpata bure kabisa huyu jamaa ili qkagombanie namba na bellerin

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@jorgenicola. 'David Luiz is also working behind the scenes to convince Willian to accept Arsenal's 2yr contract proposal'
 
MIKEL ARTETA #COYG shoot that COVID
.
Mikel Arteta COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Ujue ana kipaji sana Arteta, anachokifanya pale Arsenal ni kikubwa sana, kwa muda mfupi katuonyesha rangi rangi za ujuzi wake, tunaona zile pattern play kutoka nyuma kwenda mbele, ni swala la muda tu ila hiki kijitu kinataka kutuletea nongwa, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Arteta, ametuletea mbinu mpya, cheza na Bukayo Saka kama beki wa Kushoto, ila Xhaka kama msaidizi wake pele anapokuwa eneo la ushambuliaji anakuwa winga tu, ameona uwezo wake wa zile pin point crosses katika mazoezi katuletea pia uwanjani, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Upande wa kushoto kwenye chaki anakaa Saka, Aubameyang acheze kati ya beki wa kati na wa kulia wa mpinzani karibu na beki na chaki ya box(half space), akiwa karibu na 18 basi ndani ya msimu anakulipa kuanzia goli 18+, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Ujue nini kingine, David Luiz husogea kule na kupiga zile pasi zake ndefu chini zenye undugu na nyasi, akiangalia mikimbio ya Aubameyang, si mnakumbuka ile assist kwa Aubameyang dhidi ya Everton!, basi ile ndio faida ya Auba kucheza kwenye half space ya kushoto, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Auba hupokea straight through pass za David Luiz na Xhaka, V-Pass kutoka kwa Bukayo Saka, diagonal through pass za Mustafa Özil zikitokea "golden square" nusu duara ndogo ya mitaa ya nje ya box la mpinzani, pia cross za Le'Grande Pepe, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Kaondoka na kitu kutoka kwa Pep, ana overload upande wa kushoto, ataenda Özil, Xhaka, Saka, Auba, na Laca, alafu Pepe anabaki kwenye chaki ya kulia, wapinzani wanalazimika kwenda upande uliofanyiwa overload, wakienda tu Xhaka anapiga long ball kwa Pepe ambae yupo free, hii Pep hutumia kwa Mahrez, COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
Mi nategemea kuona mengi kutoka kwa Mikel Arteta, acha tu niseme COME ON YOU GUNNER shoot that COVID
.
danirito_thomson-20200428-0001.jpeg
 
Juventus have made an offer for Thomas Partey. An unconfirmed Premier League club (rumoured time be Arsenal) have also announced their intention to make an offer for the player. (@le10sport - @AlexisBernard10)
 
Arsenal midfielder Lucas Torreira is not looking to leave the Emirates Stadium amid reported interest from AC Milan, Italian journalist Gianluca Di Marzio has told Sky Sports.
 
'FIFA HAVE 'CALLED' FOR THE PREMIER LEAGUE SEASON TO BE CANCELLED

A high-ranking FIFA medical expert is calling for the Premier League season to be cancelled.

FIFA Council and Chairman medical chief Michel D'Hooghe has insisted football should not resume till September due to the coronavirus pandemic.

His comments are a blow to any fans hoping for a restart in the next few months, with the emphasis shifting to next season.

"The world is not ready for competitive football," D'Hooghe told Sky Sports News per The Independent.

"I hope this can change very quickly and I sincerely hope that. Today you need more patience.

"Football can only be possible if contact is possible again. Football remains a contact sport and contact is one of the first things everyone says that you should avoid.

"If they could start 2020-21 in September they could eventually avoid a second attack from the virus.

"It's still about social distancing. Testing is an important point but you have to repeat them (tests). If one of the players becomes positive, you have to put the whole group into quarantine. Is that a solution for a normal competition?

"We do not know when it will reach its peak in different countries, it will be different in every country. The solution will only be there the day there is an adequate vaccination programme."

The news came on Tuesday, the same day France announced all suspension of sporting events until September, effectively ending the Ligue 1 season.

D'Hooghe also stressed the virus should not be brushed aside and that it's as 'dramatic' as World War II.

"It is a terrible responsibility at the moment - the most dramatic situation we have lived in since the Second World War," he stated according to The Sun.

"You cannot play in the Premier League when players have to remain two metres apart.

"Have you tried playing football in a mask? This does not avoid social distancing. Players are together on the field, in the dressing room.

"Of course, you could say, 'Let's play behind closed doors'.

"But even then, you will see groups of fans coming secretly together in rooms just to support their team anyway.

"Testing is such an important point - but you have to repeat them.

"If one of the players becomes positive, you have to put the whole group into quarantine.

"Is that a solution for a normal competition? Football has to be patient. It has to listen to the authorities and respect the basic health rules."

Do you think the Premier League season will be finished?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ornstein: Possibility of Mustafi and Sokratis to be sold. They may bring another CB and have been looking to bring in 2.

In the next 2 or 3 weeks it could get noisy. Agents will increase their activity. #ASTEvents
 
Back
Top Bottom