Kwa mara ya kwanza tokea Wenger kuanza kufundisha Arsenal leo nimeshuhudia Wenger kubadili falsafa yake ya "just concentrate on playing our game and don't worry about opposition tactics"
Naona Wenger ameanza kubadilika ama ameanza kutusikiliza wapenzi.
Leo alitumia tactics kulingana na mchezo wa Chelsea . Aliweka Walcoltt na Nasri in wide positions na asilimia 80 ya kipindi cha kwanza tumekuwa tukitumia kasi ya Walcott na technical ability ya Nasri kui-stretch na kuichosha difensi ya Chelsea, na matokeo yake ilisababisha A cole kupata kadi njano mapema sana na kushindwa kucheza ile staili yake ya ku-overlap, Ferreira nae ilibidi abadilishwe mapema na kuingia Bosingwa kwa vile alikuwa maji ya shingo kutokana na manyanyaso ya Nasri.
Pale kati Fabregas- Song - Wilshere waliwazima kabisa Essien -Lampard - Mikel na supply kwa Drogba na Malouda ilikuwa very limited, hadi ilibidi Mikel apumzishwe half-time na Malouda nae alifuatia dakika ya 55, Djourou alipewa kazi ya "man-marking" the Drog na aliifanya hii kazi kwa ufanisi.
Hongera Arsene kwa kufanya maamuzi ya busara, tunataka na siku ya Barcelona uje na tactics ya kuzuia supply kwa Messi na kuwazima pumzi Eniesta na Xavi,mambo ya free flowing football tusubirie akina W/ham na blackpool.
Ila dogo Samir nae yupo njema sana sijui kwa nn wanambania kule France national team!
Hongera zenu Arsenil, you were the better team tonight and deserve the win.
Na tusubirie tu mkuu, pengine Wenger atakuja na another trick in his sleeves, let's wait and see but after today performance anything is possible.Ila nasikia Wenger akikumbuka tu game na Barca tumbo linafuluga kabisa na lile koti kama kanzu linageuka blanket
Kwani tele maana yake nini? Kuna idadi yoyote inayoashiria "tele"?! Hata kama tuko watatu, unaweza kuniambia idadi ya washabiki wa Chelsea hapa JF? Nafikiri tuongee football zaidi, tuachane na mambo ya tele, au sisi wengi kuliko nyinyi maana sina uwezo wa kujibu hili.
Are U serious????? Dogo yumo kwenye squad.................Ni WC tu ndo walimmbania tena baada ya Kumwambia Ray Dom ukweli.........
Na tusubirie tu mkuu, pengine Wenger atakuja na another trick in his sleeves, let's wait and see but after today performance anything is possible.
Ila nasikia Wenger akikumbuka tu game na Barca tumbo linafuluga kabisa na lile koti kama kanzu linageuka blanket
Mdogo Theo won this game for u..alikuwa mwiba kwelikweli.
Good game to watch..hongereni Arsenal. U got lucky and capitalise on two mistakes ..that was ur escape route.
Hivi record za nyuma zinasemaje Aseno na barca wamewahi fungana mara ngapi?
Sijui kwanini huyu kijana katika mechi nyingi huwa anatokea bench. Ni mzuri sana na speed yake huipa homa kubwa ngome yoyote ile katika EPL.
Kaka mbona kama unapoteza picha halisi ya mchezo mzima kama ilivyokuwa . Una maana gani unaposema we got lucky na escape route ?
Tumekosa goli ngapi chelsea wamekosa ngapi.
Nilitegemea umalizie kwa neno arsenal deserved to win.
Hehehehe kabla ya mchezo wa leo record za nyuma kati ya Arsenal na Chelsea zilikuwa zinasemaje vile? With determination anything is possible under the sun
Football. Bloody hell. For the first time in two years, Arsenal have beaten one of their title rivals as goals from Alex Song, the excellent Cesc Fabregas and Theo Walcott gave the Gunners a 3-0 lead before Chelsea had mustered a single shot on target. Branislav Ivanovic's consolation goal made it interesting but this was Arsenal's night. They're now genuine title contenders while Chelsea have not won in six PL games. Will Carlo Ancelotti get the boot............ endelea kumsomahuyo pundit Football365 - Football News, Views, Gossip and much more...
Mkuu rekodi ni "past" kwani ukiangalia rekodi hata Chelsea kwa miaka ya karibuni walikuwa na rekodi nzuri dhidi ya Arsenal lakini angalia nini kimetokea leo? kama sio kosakosa ya Diaby, Walcoltt na Nasri wangeweza kufungwa hata 6-1, Kwa hio tugange yajayo, weakness ya Wenger ilikuwa ni haamini Tactics kama akina Maurinho. Huyu bwana tunamwita haambiliki ama Arsene knows lakini leo umeshuhudia Arsenal wamekuja na game plan mpya, kwa hio inaashiria kuna siri ya revolution behind Arsenal playing tactics, kwa hio just wait and seena nakuhakikishia utaona different game na zile za miaka ya nyuma.Hivi record za nyuma zinasemaje Aseno na barca wamewahi fungana mara ngapi?
Wakuu tuna mechi na Wigan Jumatano na Jumamosi tunacheza na Birmingham kabla ya kuwakaribisha Man City uwanja wa Emirates tarehe 5 January 2010.
Ni mechi muhimu pia na ukizingatia kwamba mechi nyingi zitakuwa za nyumbani na tumekwishacheza na timu kubwa.