Hiyo arsenal kimeo mlikuwa na matumaini eti ingefika fainali. Labda kama mtu ana matatizo ya akili.Unasema baada ya kutolewa si ungeongea hivyo kabla ya mechi tukakuona mtabiri kweli.
Huyo mpuuzi kwenye avatar hujakosea kumweka... Mnafanana akili.Hiyo arsenal kimeo mlikuwa na matumaini eti ingefika fainali. Labda kama mtu ana matatizo ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpuuzi kwenye avatar hujakosea kumweka... Mnafanana akili.
Kwan last season ni kikosi kipi kilichofika fainali?Ila huyo jamaa ana akili kuliko vilaza wengi wa arsenal ambao wanawaza eti wangefika fainali kwa timu takataka kama hiyo waliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tambeni,...jukwaa lenu...Ila wiki ijayo mbona karibu sana.
Kwan last season ni kikosi kipi kilichofika fainali?
Kwan wewe shida yako ni kikosi au fomu ya wachezaji
Hamna mkuu sometime bahati inaplay part yake, mimi nilishangaa sn Barcelona kushindwa kufunga goli Anfield msimu uliopita, kwa hiyo hii ni normal kwny football, Usishangae Olimpiacos akanyanyua ndoo hii.
Kwan wewe shida yako ni kikosi au fomu ya wachezaji
Hata hujajibu swali langu.... Naona unanipigia porojo tu.Huu msimu timu yenu ni kimeo. Hivyo kuwaza kwamba eti mngefika final mlikuwa mnazingua.
At least mwaka jana mlikuwa na kocha ambaye alishachukua hata hilo kombe mara kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo bias huyo achana naye mzee, usipoteze nguvuHata hujajibu swali langu.... Naona unanipigia porojo tu.
Nilishasahau kuwa gem ilichezwa emirates
Sio takataka ila wana viwango duni kucompare na timu nyingine shindani,sio jambo zuri kuita wachezaji wetu takataka dah......Sokratis, Luiz ,Chambers ,Holding ,Mustafi, Lacazette,
Leno wapo wengi ambao ni are not good enough for this
club Hamtakuja ku compete
for anything ni Aubameyang peke yake ambaye unaweza kumuita World class playerat this club waliobakia ni
Takataka.
Uajabu upo wapi sasa? Au hujui maana ya ushabiki!!!!!!????Njoo jukwaa la Chelsea ufurahi Chelsea kufungwa na buyern ..dunia hii imejaa watu waajabu sana
Mzee wa mipenatiNdugu zetu wa Asernal tutawazima hawa mafundi wawasaidieView attachment 1371214
Sent using Jamii Forums mobile app