Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya mechi walisema leo Arteta alipanga very strong team
,

Nikasoma tena line up nikakuta beki za kati ni Mustafi na Luiz...... nikacheeeeka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Arsenal wenzangu poleni sana!.. Maumivu tuliyo nayo hayana kipimo!.. Jana usiku kila nikilala nilikuwa namuona Lerno jinsi alivyosababisha ile kona ya kijinga sana.. Hata hivyo kocha alionyesha dhamira ya dhati sana kushindq hii game na kiukweli tulikuwa tumeshashinda mpaka kipa alipofanya uzembe wa karne.. Haya yote yatapita, tuna kocha ambaye namwamini sana, tuweni watulivu hii pia inaweza ikatusaidia kusababisha uongozi ukawa serious sana this time!. Tuweni na imani, timu yetu inapoga hatua ambazo kila mtu anaziona wazi. Acha turudi EPL tupambanie top four, naamini tutaweza chini ya mwamba Arteta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubir mchezaji wa arsenal aposti atoe ya moyoni nione reaction ya mashabiki ila hadi sasa naona wanategeana tu.
 
Uefa iangalie hii ishu ya away goal... Ishapigiwa sana kelele watu wanapita kizembezembe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…