Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu mimi sijaelewa kwanini arsenal ametoka wakati agg ni mbili kwa mbil na huku arsenal ana goal moja la ugenini
 
Kwa nini usiiteme moja kwa moja tu
 
Sio kweli kuwa arsenal imejifia. Kwani kupoteza mchezo wa jana ndo kujifia? Mbona timu ilicheza vizuri tu sema basi ni mipango ili-fail na huo ndo mchezo wenyewe kwamba ukifail mwenzako anafanya vizuri. Yote kwa yote timu inazidi kujengeka ukilinganisha na siku kadhaa zilizopita huko nyuma. Vinginevyo lbd km wewe sio shabiki wa arsenal ila unajificha kwa kujiita mwana-arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta katuzoeza vibaya huku kushindashinda..... Kwa comments hizi za mashabiki jf na mitandao mingine,wacha tupigwe tu turudi tulipotoka ndo tutapata akili.
 
Tatizo mnapiga sana umbea kwenye jukwaa la chelsea. Ona sasa mmetolewa na kitimu cha ugiriki huko. Hadi aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arseshit tatizo mnapiga sana mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina la kuongeza ila ukweli unaonekana arsenal yetu inavyozidi kuporomoka siku zote ukweli unajitenga na uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…