Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Asije kiwa kama Willock tuNi usajili wa ghafla uliowahi kufanyika duniani muda mchache kabla mechi Olympiacos na Arsenal haijaanza dogo akasajiliwa the gunners na akawemo kwenye picha rasmi ya timu lakini ukweli ukoje?Huyu dogo ni moja wa mascot walioingia uwanjani na timu kama ilivyo ada kusheheresha mpambano sasa wakati mamemaliza majukumu yao wanapaswa kutoka dogo akaghafilika uelekeo wake akabaki anakodoa macho na hadi wachezaji wa Arsenal walivyoamua kumuita ajumuike kwenye picha maana muda ule ulikuwa wa jukumu la picha, vip miaka ya baadaye ikitokea akaja akacheza Arsenal kwa maana moja au nyingine na hichi kisa chake itakuwajeView attachment 1365119
Duuh! £261 mzee baba ikiwa kweli aisee tunachukua ligi january tu.The rumour refuses to go away
This time, the Daily Mail reports that Arteta will be afforded 'around £261.5m' for transfers this summer.
This is coming just after The Express reported Raul Sanlehhi guaranteing Arteta a large budget irrespective of our UCL status.
Could there be truth in this?
ChaiDuuh! £261 mzee baba ikiwa kweli aisee tunachukua ligi january tu.
Amini nawaambieni arteta ni kocha mzuri kuliko Lampard na imagine huyu angepewa timu mwanzoni kabisa yan ndani ya mda mchache ameweza kutengeneza structure ambayo inaonekana na amewafanya wachezaji wawe bora zaidi makocha wachache wenye vipaji kama ivyo ndo maana namkubali sana
Sio Lampard mechi 3 anafungwa na manyumbu ameshindwa kimbinu hata na ole gunnar ambaye kimbinu ni mbovu ndo maana nathubutu kusema Lampard hata apewe wachezaji gan hawezi kuwapa kombe chochote Chelsea hata msimu ujao najua mashabiki wa Chelsea watachukia ila makosa yake wanayachukulia poa kwa sababu hawajasajili ndo maana hana pressure ila msimu ujao ndo tutayaona madhaifu yake kimbinu akishapewa pesa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huyu na Xhaka wangeuzwa na mashabiki walikuwa washaafiki hilo... Na baadaye majuto ni mjukuu.Skhodran Mustafi vs Olympiacos (A)
Clearances (3)
Interceptions (2)
Tackles (3)
Ground duels won (4)
Aerial duels won (6)
Touches (89)
Passing accuracy (88%)
Accurate Long balls (6)
Key passes (1)
Third clean sheet in a rowView attachment 1364675
Sasa nyie manyumbu mpo nafasi ya ngapi?Hiki kikundi cha wahuni nawakumbusha mpo nafasi ya 10 ktk msimamo, msijisahulisheView attachment 1366123
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi ulipotea baada ya Ole sendeka kuwapiga kipigo cha umbwa kokoMumeona nyie viazi mbatata ..apo London sisi ndo wababe ..sisi ndo tunaibeba London kwenye mabega yetu ..sisi ndo wababe na watawala wa London ..bila sisi hakuna London ..London inatamba kwenye soka kwa sababu yetu ..ivyo nyie wengine mutulie kama mulivyo..
London is Blue..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app