Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Upande wa pili kuna watu walioshiba Joelinton, Longstaf, Saint Maxima, Almorin nyie mna Kipepe na Saka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inachekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa namna wanavyocheza Newcastle nguvu ya Kola inahitajika sana kuna kipindi Saka nguvu ya kuingia kwa kulazimisha inamshinda,Arteta aangalie sana Xhaka atakuja kutugarimu humu ikiwezekana ampe dakika kadhaa ampeleke nje tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ipo katika team selection ila tuwe na subira nafikiri kuna kitu anataka kuprove

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom