

Huyo jamaa ana laana ya mababu na mababuNilipoiona tu hii komenti nikajua leo tunaua mtu na kweli mtu kauawa kwa risasi nne za nguvu
#COYG![]()
Hahaaa
Leo kahusika magoli matatuYah yupo vzr leo
Kumbe umeona
Wewe dada tukishinda ndo unatokea humu
Dogo Leo katakata sanaMliokuwa mnaponda Saka shut up
Come again...Upande wa pili kuna watu walioshiba Joelinton, Longstaf, Saint Maxima, Almorin nyie mna Kipepe na Sakainachekesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha akanawe yordani aondoe gunduNilipoiona tu hii komenti nikajua leo tunaua mtu na kweli mtu kauawa kwa risasi nne za nguvu
#COYG![]()
Arteta swala la Defence na midfield kaliimarishaMustafi amefanya kazi nzuri sana, toka Arteta afike ameanza kujimudu
Hahaha uyu jamaa asiwe anakomenti maana ana gunduHuyo jamaa ana laana ya mababu na mababu
Yah anadefend na kupiga pasi nzur sana naona goli la mwisho limeanzia kwakeMustafi amefanya kazi nzuri sana, toka Arteta afike ameanza kujimudu
Not this time... Hawezi kuja