[emoji419]#HEBU TUJIFUNZE KUTOKANA NA SWALA LA MAN CITY
[emoji613] nilichofanikiwa kupata kuhusu hawa watu na sheria hizo za FFP
[emoji996] niliwahi kuandika na kusema sheria hizi ziko open tu unafanikiwa kutumia kulingana na kile ulichoingiza kimapato, vile vile nikaongeza pesa nje ya mapato ya team kimpira ni makosa
[emoji996] kosa la man city ni kitambo kidogo 2012-2016 man city walisubmit report yao ya mapato wakionesha faida kubwa waliyopata kutokana na sposonship revenue ( mapato ya mdhamini)
[emoji996] lakini ilikuwa sio kweli walifanya overstating kwani faida ya sponsoship(udhamini) haikuwa hiyo waliyo submit
[emoji996] kulingana na investgation iliyofanyika faida ya city kwa mikataba ya udhamini ambayo ni Etihad shirt sponship na academy ni £ 8m lakini city walisema ni £ 67m kwenye taarifa zao
[emoji996] hivyo basi kati ya hiyo £67m ukitoa 8 pesa iliyobaki ni nje ya mpira na ilitoka direct kwa kina mansoor na shirika lao abu dhabi na Etihad air ways
[emoji996] hivyo wamevunja sheria ndio board hiyo ya uchunguzi kufikia maamuzi hayo
[emoji996] ili ni funzo kwetu kulia pesa,za kroenke ambazo sio za mpira afanye uwekezaji tunatakiwa kuwekeza kwa mapato yaliyopo na mapato ya Arsenal yamepungua kutokana na kukosa UCL, kushuka mauzo ya wachezaji na viingilio uwanjani.
[emoji996] nafikiri tujifunze kujurge kwenye right way
View attachment 1357899