Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Habari nzuri sana sasa ni zamu yetu kurudi champions league nafasi hiyo nyeupe na hili tukishindwa kuchukua advantage itakuwa ni aibu ya karne maana hawa watoto wa wolves Leicester na wengineo nao wanaona nafasi ndo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Leicester, Wolverhampton, Man utd, tottenhan wote nao wamefurahia kama nyie. Na hivi ukiangalia katika timu zote hizo zipo stable mentally kuliko nyie. It is not that easy mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi Dully JR alisema milango mitatu ni ARV nimeona kwenye comments za nyuma sasa unasema Mimi ni milango mitatu sijui ukweli upo wapi?matokeo tofauti ya Leo ambayo hayatakuwa ni point 3 lazima tuogope sio kulalamika maana mpaka sasa tupo nafasi ya 11 sawa na newcastle

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaaah, hapo sawa halafu sema lazima niogope, sio lazima tuogope, wengine wahenga humu, tuogope nini? Mpira unachezwa London mi niko Kazimzumbwi naogopa nini sasa??!! Acha uoga dogo.
 
Sijamwelewa Arteta anataka nini ila ngoja tuone ....we support himView attachment 1359763
Screenshot_20200216-183312.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom