Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,927
- 27,167
Narudia tena Pambaaav!!Tusi liko wapi hapo ndugu yangu?
Vile unavyokuja ndivyo utakavyopokelewa....umekuja na neno 'pumbavu' nami nikakupa unalostahili....
Nioneshe wapi nilipotumia neno kama hilo kwa mtu kama cash money Wings au beira 1.......
Uwe na adabu unapokuwa katika ukanda huu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh Arsenyeto bhana. Maneno mengi utoto mwingiNashindwa kuelewa cheltako wanafanya nn humu... Wanaotakiwa humu ni arsenal na liverpool tu... Wengine mkaendelee na dozi za vidonge na mitishamba
Hii timu haijengeki kwa wachezaji hao mlonao mzee. Kina Willock, Ozil, Lacazette (si bure hata Giroud anamweka benchi timu ya taifa), Gunduzi, Maitland and alike. Hao mtazunguka milele mko hapohapo. Watu wanacheza kukamilisha ratiba tu. Timu itajengwa na kina Martineli, Saka, Leno, Torreira, Ceballos, Auba na usajili mpya kwenye defence na middleMkuu naona maneno mengi sababu Liver ipo vizuri msimu huu? Tunajenga timu, still tuna kocha mpya so bado kuna changamoto za kufanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacazette amekuwa out of form juzi tu mnaanza kumuandama.... Lacazette hata alivyokuwa top form hakuitwa timu ya taifa sababu anazijua kocha wake.Hii timu haijengeki kwa wachezaji hao mlonao mzee. Kina Willock, Ozil, Lacazette (si bure hata Giroud anamweka benchi timu ya taifa), Gunduzi, Maitland and alike. Hao mtazunguka milele mko hapohapo. Watu wanacheza kukamilisha ratiba tu. Timu itajengwa na kina Martineli, Saka, Leno, Torreira, Ceballos, Auba na usajili mpya kwenye defence na middle
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete stats zake hapa za akiwa form. Magoli na assists.Lacazette amekuwa out of form juzi tu mnaanza kumuandama.... Lacazette hata alivyokuwa top form hakuitwa timu ya taifa sababu anazijua kocha wake.
Kuna wachezaji inapaswa dirisha kubwa waondolewe Kama wakibakia kikosini ntaona kweli hii timu usiriazi haina bali inakamilisha ratibaHii timu haijengeki kwa wachezaji hao mlonao mzee. Kina Willock, Ozil, Lacazette (si bure hata Giroud anamweka benchi timu ya taifa), Gunduzi, Maitland and alike. Hao mtazunguka milele mko hapohapo. Watu wanacheza kukamilisha ratiba tu. Timu itajengwa na kina Martineli, Saka, Leno, Torreira, Ceballos, Auba na usajili mpya kwenye defence na middle
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nasema Pambaaav BABA YAKO + MAMA YAKO .Narudia tena Pambaaav!!
Sikujua kama hilo neno ndio limekutoa kwenye reli.
Tafuta jipya PAMBAAV!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunajua kuwa upo katika hali nzuri kwa sasa ,sasa usitukabie juu mzee...unataka tusipumue????
Yako ina nini tuanzie hapo kwanza?????hata sikushangai. Timu unayoshabikia ndio chanzo.
Halafu nilikwambia dogo njoo na jipya kapori weee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nduguMkuu tunajua kuwa upo katika hali nzuri kwa sasa ,sasa usitukabie juu mzee...unataka tusipumue????
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambaaaaaaaav!!!!Na mimi nasema Pambaaav BABA YAKO + MAMA YAKO .
Hapo vipi???
Hapa ukiomba nyoka unapewa nyoka,usitegemee uombe nyoka upewe samaki......
Lete tena ujinga.....
Narudia kusema ,maana hili nilishalisema huko nyuma ,katika washangiliaji vihande wa chelsea basi wewe hovyo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona pumbav ni neno zuri basi
Hahahahaha wewe akili huna,
Dk 60' unamtoa Ozil unamuingiza Ceballos.Arsenal's strongest XI after January transfer window
Benge's strongest Arsenal XI: Leno; Bellerin, Luiz, Mari, Tierney; Torreira, Xhaka; Pepe, Ozil, Martinelli; Aubameyang.
Discuss...
LenoArsenal's strongest XI after January transfer window
Benge's strongest Arsenal XI: Leno; Bellerin, Luiz, Mari, Tierney; Torreira, Xhaka; Pepe, Ozil, Martinelli; Aubameyang.
Discuss...