computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hahaha mkuu unanichekesha hahahaha halafu kwa sasa tukubali Lacazette na Aubameyang hawawezi kucheza pamoja hili inabidi tukubaliane kama tunataka ushindi lazima Aubameyang awe centre hapo bila hvyo tutaishia kila weekend kuzivua jezi kwa kuona aibuacha wakale maisha tu hakuna namna
Unavyosema "mkishinda" kama vile mna bonge la timu la maajabu. Kumbe ndo hii ya kina Lacazette, Ozil mliyekuwa mnamlilia, Gunduzi, Willock etcKesho tukishinda , matokeo ya man u na wolves yakibaki sare ,
Kutokana na fixture ilivyo baada ya mech 3 tutaongea mengine
Msimamo usikutishe wengi wamefungana point
Kesho tukishinda mtu wa 5 atakuwa katuacha point 3
Then Chelsea aliye nafas ya 4 ana fixture tata pamoja na man u
tuko ICU wazee
willock anaingiaje mbele ya ceballos
shida nn waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna wachezaji humo ni majina ndo yamebakiUnavyosema "mkishinda" kama vile mna bonge la timu la maajabu. Kumbe ndo hii ya kina Lacazette, Ozil mliyekuwa mnamlilia, Gunduzi, Willock etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume washasajiliwa mkuu ngoja tutoke mapumzikoni atawaonaHahahahahakubalini kashfa zake anasema ukweli kutoka moyoni. Anatamani timu asajili WANAUME wa kazi.
Sent using Cash Money Wings
Mkuu kiukweli kwa gemu zilizopita mpira ulikua unapigwa mwingi mabeki ndio walikua wanatukosti ila leo Arteta sijui ameamkaje akaamua kuanzisha watu wa ajabu matokeo yake hakuna mpira mzuri wala point tatuAaron alikuwa anasifia hapa timu inacheza mpira mzuri sana sana chini ya Arteta.
Leo nikasema wacha nione huo mpira mtamu dah ghafla movie ikabadilika kuwa ya mazombie
Sent using Cash Money Wings
NdiyoMsijali game nyeupe ii af timu inaupiga mbona
Subiri dakika kuanzia ya70 uone moto wa lacazete
Lazima awalie pumzi wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhLacazette linagaragara chini kama linguruwe pori limechomwa mkuki wa shingoni.
Sent using Cash Money Wings
Mkuu yule jamaa tulikuja kugundua alikua nyumbu yule anayepandisha matokeo katikati ya mchezo alafu anakimbiaYule jamaa anayeandikaga herufi kubwa huwa anapondwa kweli ila ndo msema ukweli humu kundini. Yeye ndo anaelezea ukweli halisi wa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuicheza Chelsea kwenye vitu vya kipuuzManina kabisa dah tumeponea chupuchupu halafu cha kushangaza wapinzani wapo vibaya sana sana ila upande wetu sijui niseme tupoje?nashindwa kuelezea ukiangalia nafasi ya 4 kwa chelsea hajashinda mechi 3 mfululizo ila bado tumeshindwa kumkaribia dah Manina kweli
Arteta acha Chuki kwa ceballos na pepe tena ya waziwazi kabisa una hao watu wawili ila kamuona willock na nketiah ambaye hata leeds hakuweza kupata namba ndo wanaweza kubadilisha matokeo ya mechi ambayo tulishazidiwa Leo ndo nimeamini watu wa catalunya wana roho na Chuki Kali akikuchukia utaipata hii game tumezidiwa sababu ya Arteta hata shearer anashangaa timu ina wapambanaji ila Msimu mzima tumeshinda mechi 6 pekee?Norwich na watford ndo timu pekee ambazo zimeshinda mechi chache hadi Aston villa katupita kwa kushinda?dah itabidi twende Highbury tukachomoe vitu ambavyo Maadui zetu walifukia kiwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona amesepa tumemtukana sana ila hata Mimi naanza kuona alichokuwa anaandika ni sahihi kabisa basi tu hatupendi kutukanwaMILANGOMITATU EMBU ONA NINI HIKI
Sent using Cash Money Wings
Hahaha daahhLeo namlaumu ARTETA yeye ndo kaanza kuonyesha Chuki za waziwazi na nimemuona ana roho mbaya sana sana yaani tumezidiwa unamuingiza willock(hakuna shabiki wa Arsenal anayempenda jamaa) huku ceballos mtaalamu yupo nje then unamuingiza nketiah ambaye hata leeds hakuweza kupata namba unamuacha pepe nje dah Leo ndo nimeamini wacatalunya wana roho mbaya na ngumu sana na akiendelea na hii tabia hata hizi mechi zijazo zote tunacheza home hatutapata matokeo
Kazi ya willock ni kutema mate tu uwanjani mpira haujui ila kocha sababu anamchukia ceballos anaona ni bora huyu acheze
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu Ozil angeenda tuOzil mia ceballos mmoja..,mi nachukua ceballos mmoja... Huwa nakereka tu nikimuona ozil anaanza halafu una miguu ya dhahabu benchi....Na nilichefuka zaidi niliposoma arteta kamkumbatia ozil halafu watu wameleta dau.., $ema nilipocheki jukwaa nikaona linaenda vzr nikasema wacha nisichefue watu... Ila kwa hili arteta kafeli(kazingua).