Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Automatically tukimleta Cedric Soares ambaye ni Fullback atasaidiana na bellerin ,tutakuwa tumesajiri CM ,

means Niles anarud rasmi nafas yake
 
Arsenal look to be closing in on a late move for Southampton full-back Cedric Soares.


Ni dhahiri Ceballos anaondoka

Niles Atarudishwa eneo la Midfield

Cedric anakuja kusaidiana na Hector bellerin
IMG_20200129_174630_984.jpeg
 
Ceballos anarud Spain (James benge) Niles to Midfield


Arsenal are exploring a January move for Cedric Soares, the Southampton right-back who is out of contract in the summer. For that reason would be a permanent deal to add back-up for and competition to Hector Bellerin.(James benge)



The assumption would be that that would see Ainsley Maitland-Niles used in his natural midfield role more regularly and Dani Ceballos potentially returning to Spain. I wouldn’t rule that out but as I understand it there’s been no progress on Ceballos cutting loan short.
 
Itapendeza zaidi kama wataongeza na attacking midfielder mmoja. Ozil ameelekea ukingoni, Ceballos ndio hivyo anaondoka. Kumtegemea Willock/AMN kwenye midfield ni kujitakia matatizo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwezekano ceballos akabaki


AM ,DM na LW nasikia ni dirisha kubwa ,ambalo wamepanga kutumia hela kubwa
 
Arsenal are confident of completing a £5million deal for Southampton right-back Cedric Soares before Friday's transfer deadline. [@EveningStandard]
 
Itapendeza zaidi kama wataongeza na attacking midfielder mmoja. Ozil ameelekea ukingoni, Ceballos ndio hivyo anaondoka. Kumtegemea Willock/AMN kwenye midfield ni kujitakia matatizo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shda maddison hawez kupatikana July ila lazima tupate mbadala wa OZIL Brazil kuna wachezaji wakali sana huko viongozi waende huko kwa sasa OZIL hana jipya kwa sasa na Mwaka huu anaingia 32 ndo kabisaa kiwango kinafifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta a few weeks ago:

"We are playing with full-backs that are not full-backs. They are wingers or central midfielders & could we afford to lose full-backs? No, but we don’t have any full-backs."

Of course, Bellerin has since returned, but we are still short.
IMG_20200123_143049.jpeg
 
Arsenal's interest in Cedric Soares is genuine. They are looking at cover for Bellerin at RB and Saints open to selling now as he is out of contract in the summer. Soares can also play on the left of defence if needs be.

IMG_20200129_174630_984.jpeg
 
Back
Top Bottom