Arsenal (The Gunners) | Special Thread

|Double transfer blast |

Thomas Lemar is close to leaving Atletico Madrid for Arsenal

[@okdiario] via Marca

Arsenal have submitted a €31.5m loan with obligation to buy offer for Mykola Matviyenko and it is ready to be accepted

[@footballua_tv]
 
Arteta on Ceballos:

“I had a conversation with Dani. I heard about those things, but I have nothing to comment. He needs to get back to fitness and fight for his place.”
IMG_20200109_220926.jpeg
 
Left Foot center back(LCB) ni lazima Kwa Arteta ......kama anataka kucheza 4_3_3 au 4-2-3-1 .

kiasili Mykola Matvyenko ni Left Back ,

ila ni kiraka anacheza LCB, LB, RB ,

Kuna beki aliondoka shaktar alikuwa anacheka CB , hivo Mykola akarudishwa kucheza LCB ..........

ARTETA alimuona wakati City inacheza na Shaktar ,

Arteta anamuhitaji huyu beki kama laporte ......kukiwa na shortage ya LB wanamsteup up kucheza no 3 .

Mykola Matvyenko anakuja Arsenal kama LCB(LEFT CENTER BACK) na si kama Left Back (LF)

Japokuwa kiasili ni Left back
IMG_20200124_161238_456.jpeg
 
|Double transfer blast |

Thomas Lemar is close to leaving Atletico Madrid for Arsenal

[@okdiario] via Marca

Arsenal have submitted a €31.5m loan with obligation to buy offer for Mykola Matviyenko and it is ready to be accepted

[@footballua_tv]
sasa winger wa nini tena!

mbona tunaitaji DM, CM na defender.

arsenal ndo shidaa yao hiyo, mara nyingi wanaangaika na nafasi ambazo hazina uhitaji sana.

bora tusubiri usajili mkubwa wa mwisho wa msimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta on Aubameyang to Barcelona speculation:

"As far as I know, a week ago after a game at home we were discussing that he said he was so happy & he didnt agree with the things that were written in the media & he has his future here. Thats what I understand at the moment" #afc Gurjit on Twitter
 
Arteta on Ceballos:

“I had a conversation with Dani. I heard about those things, but I have nothing to comment. He needs to get back to fitness and fight for his place.”View attachment 1333032
Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.
Uwezeano wa Ceballos kuwepo msimu ujao ni mdogo na kumbakiza itahitaji gharama kubwa au atatumika kama chambo kwa Madrid kumpata Aubemayang. Kuepuka mtego huo Arteta anaona bora asimtumie/kuwepo kwenye mipango yake.

Huku Ceballos akihitaji kucheza mara kwa mara ili apate nafasi ya kuitwa national team kwa ajili ya Euro 2020. Kukosa nafasi ya kucheza Arsenal imemfanya kuomba Madrid wakatishe mkopo wake ili apate timu ya kuichezea regular.

Hii situation inaathiri pande zote mbili ila Arteta anapodai Ceballos bado hajawa fit kupambania nafasi ilihali watoto kama Willock wanacheza ni uongo mchana kweupe. Kwa hili Arteta umedanganya.

Mkuu inawezekana ni kweli Ceballos hajawa fit, au hajafikia level Arteta anazotaka ili aanze kikosi cha kwanza.

Sidhani kama Arteta kwa kipindi alichofika ashaanza kuleta mambo ya Emery, ya kutenga wachezaji.

By the way mimi sio fan wa Ceballos, hata akiondoka Sawa tu.

Mkuu usemacho hata kuna jamaa angu mmoja ameniambia kama wewe , ila binafsi nataka nithibitishe kwenye mechi ya FA CUP jtatu ,

Kuna sababu pia Katoka Rehab , hivyo anahitaji fitness , sawa na Bellerin naye alikuwa hajapata nafas muda mrefu tu ,kaanza kupata mech na Chelsea .

Hivo binafsi nasubiri nione mech ya FA kama ataendelea kumpiga bench .

Pia yawezekana Hana uhakika kama atabaki hivo hamtumii sana ,anawatumia waliopo ambao ni Wa mipango mirefu .

Ngoja tuone , Maana siunajua Arteta ni Mkatalunya na Ceballos ni Madrista ,
 
Mkuu inawezekana ni kweli Ceballos hajawa fit, au hajafikia level Arteta anazotaka ili aanze kikosi cha kwanza.

Sidhani kama Arteta kwa kipindi alichofika ashaanza kuleta mambo ya Emery, ya kutenga wachezaji.

By the way mimi sio fan wa Ceballos, hata akiondoka Sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio sababu hata Bellerin kachelewa kuanza kucheza , japo alishapona kitambo

Ila Arteta ampe dakika kadhaa , jamaa namkubali sana

Ana press , ana shoot , kiukweli Ampe nafasi wapokezane na Ozil
 
Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.
Uwezeano wa Ceballos kuwepo msimu ujao ni mdogo na kumbakiza itahitaji gharama kubwa au atatumika kama chambo kwa Madrid kumpata Aubemayang. Kuepuka mtego huo Arteta anaona bora asimtumie/kuwepo kwenye mipango yake.

Huku Ceballos akihitaji kucheza mara kwa mara ili apate nafasi ya kuitwa national team kwa ajili ya Euro 2020. Kukosa nafasi ya kucheza Arsenal imemfanya kuomba Madrid wakatishe mkopo wake ili apate timu ya kuichezea regular.

Hii situation inaathiri pande zote mbili ila Arteta anapodai Ceballos bado hajawa fit kupambania nafasi ilihali watoto kama Willock wanacheza ni uongo mchana kweupe. Kwa hili Arteta umedanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezee wangu, Yule Ceballos ni talent kubwa sana, ni suala la muda tu kwa jamaa ku-blow up, natamani sana abaki then tumuevaluate msimu ujao tuone show yake ipo vipi.
 
PRESS CONFERENCE AHEAD OF FA GAME

Ninanukuu kilichosemwa na kocha baada ya kuulizwa baadhi ya maswali kuhusu usajili

kuhusu tetesi za mykola matvienko.

Kasema sijui siwezi kuzungumzia tetesi zozote za usajili hadharani ni swala ambalo tunajaribu kulifanya kiundani na tukiwa na habari tutawasiliana na nyie

kuhusu arsenal kama bado wanahitaji kusajili beki mwezi huu

Kasema tunaangalia nafasi tofauti ni wazi tangu nimejiunga tulimpoteza chambers pia tuna hali nyingine na majeruhi kwenye hizo nafasi hvyo ni kweli nyuma tupo finyu lakini kuna nafasi nyingine pia inategemea nini kitatokea sokoni tunahitaji kuangalia

kuhusu kama kuna tumaini arsenal kusajili dirisha hili kabla dead line

Anasema kwa mda huu nina 50/50 sababu dirisha hili ni gumu sana,nahitaji kuleta mtu endapo atanishawishi anaweza kuleta mabadiliko ya level tuliyo nayo

mwisho wa kunukuu huo maneno ya kocha kwenye press yake

note: nimuhimu kufatilia hizi press conference au post match conference ili kupata taarifa sahihi zaidi kuliko kuwa walalamikaji bila maana
IMG-20200124-WA0010.jpeg
 
Auba £60m
Laca £50m
Pepe £72m
Ozil £42m

most expensive front 4 in the league

Xhaka £35m
Torreira £25m
Mustafi £35m
Luiz £8m
Bellerin / Saka £0

Leno £25m

£352m for 9 players , £39m average,

fact is the squad is either overhyped and paid, or decent? You choose.
 
Back
Top Bottom