Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Haha haya na sisi tutafika tu.Ndo maana inabidi tuje huku huku, mwaka jana kuna memes za last time tulichukua ubingwa marefa wanavaaje, sijui simu ni za aina gani nk. zimepotea sasa hivi.
Haha haya na sisi tutafika tu.Ndo maana inabidi tuje huku huku, mwaka jana kuna memes za last time tulichukua ubingwa marefa wanavaaje, sijui simu ni za aina gani nk. zimepotea sasa hivi.
Itakuwa nice move sana kama tutampata.According to @ElGolazoDeGol, Thomas Lemar is close to joining Arsenal for €40m.
Haha haya na sisi tutafika tu.
Yah ni kweli... We have to follow the track made by you ili na sisi tupate japo chochote cha kujivunia.Tupo tunawaandalia mazingira, I mean we are creating a winning blueprint.
Yah ni kweli... We have to follow the track made by you ili na sisi tupate japo chochote.
Unamaanisha kroenke na bodi yake?Binafsi Arsenal anahitaji kubadili umiliki.
Unamaanisha kroenke na bodi yake?
Dangote anaitaka timu sasa sijui kamaBinafsi Arsenal anahitaji kubadili umiliki.
Unamaanisha kroenke na bodi yake?
Tunaomba afanikiwe mwakaniDangote anaitaka timu sasa sijui kama
atafanikiwa au hatofanikiwa.
Sasa kwani ni uwongo????Ndo maana inabidi tuje huku huku, mwaka jana kuna memes za last time tulichukua ubingwa marefa wanavaaje, sijui simu ni za aina gani nk. zimepotea sasa hivi.
Sasa kwani ni uwongo????
Marefa hawakuwa wanavaa suti???
Kwani ni uwongo kuwa hamna hata EPL moja?????
Hahahaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
|| "All roads lead to Arsenal, for Thomas Lemar."
Of course Mkuu, yaani tukishinda mechi 3 mfululizo tunaingia top 4.Kinachotucost ni individual mistake
Na kukosa consintency , tukiipata tu tunaingia
Mpaka kroenke aamue yeye. Ndio situation tuliyo nayo.Binafsi Arsenal anahitaji kubadili umiliki.
Mpaka kroenke aamue yeye. Ndio situation tuliyo nayo.
Kroenke haoneshi dalili ya kuuza hisa zake.Exactly, ndicho nachokiona.
Nazileta mkuu subiri nipekue makaburashaMbona hamzileti mwaka huu?
Tunazitaka.