Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger anasema Tulipohama kutoka Highbury kwenda emirates ,kuna roho tuliiacha pale

Ametolea mfano Anfiled. , Wanaojua Historia ya Anfield ,wataelewa Wenger anamaanisha nn,
 
HIKI KIPAJI TUKITUNZE HATUKUKOSEA USAJILI WAKE

[emoji871] hatukukosea kutoa £6m usajili wa kijana huyu kimsingi ni potential na vijana wetu hale end wajifunze je ni nani huyu [emoji2] huyu hapa[emoji116]

[emoji733] #GABRIEL [emoji713]ARTINELL

[emoji871] ni mchezaji ambaye binafsi niseme ni #special_talent sijawahi kuwa na wasi wasi na,wabrazil walio wengi

[emoji871] ni kijana wa miaka 18 tu lakini cheza yake unaweza kusema ni ameisha kuwa matured enough

[emoji871] nikimuangalia gabriel napata tafsiri sahihi ya mpra kipaji na kujituma huyu anatumikia zaidi kipaji chake kuliko maswala mengine

[emoji871] naiona future nzuri kama tutamtumia kwa usahihi ni mzuri zaidi akicheza kama central forward anajua kujiposition anajua kutumia nafasi

[emoji871] licha kwamba hapa kwetu anatumika zaidi kama wing forward ila bado ni mzuri vile vile ana kasi ana dribbling skills kimsingi hii ni dhahabu

[emoji871] cha msingi zaidi tuitumie wakati sahihi kutunufaisha sisi (ata auba kamsifu dogo yupo #aggresive sana)

[emoji419]Note : mtazamo wangu huyu ni mzuri kuliko academy graduate wetu wengi

FB_IMG_1579596068664.jpeg
 
#CHELSEA [emoji838] VS #ARSENAL[emoji837]

STADIUM[emoji909]: stamford bridge

TIME[emoji790]: 23:15EAT(kesho)

Mtazamo_wangu [emoji342]

[emoji871] ni mchezo mwingine ambao unakuja wakati tukihitaji matokeo na kujijenga kwa wakati ule ule

[emoji871] chelsea sio team mbovu kusema ushindi ni rahisi licha ya wao kuwa na record ambayo hairidhishi sana wakiwa nyumbani wamepoteza game nyingi

[emoji871] kiufundi zaidi chelsea wapo tactically in attacking minded nikiwa na maana sio team ya kujilinda inashambulia mda wowote ule

[emoji871] pengine ina viungo wengi ambao ni wazuri kuliko sisi hii inawapa wigo mpana kwao kimbinu na kiuchaguzi kabla au baada mchezo kuanza

[emoji871] tuliona #effects yake pale emirates licha ya kwamba chelsea sio wazuri sana kiulinzi ukiforce ( goal commanding) unawafunga

[emoji871] arsenal tunahitaji kucheza kwa nguvu ( intensity) kubwa kwa mda mrefu tusiwape wigo chelsea kufanikiwa tawala eneo la kiungo hii itakuwa ni hatari zaidi kwetu

[emoji871] ni vyema pia tukiweza kutengeneza #dangers_threats nyingi langoni kwao hii itawapa shida kidogo

[emoji871] mwisho tunatakiwa kuwa na nidhamu kiukabaji yaani tusicheze ukabaji kazi ya fulani bali tucheze #collective_difending hii itatusaidia sana

#Note: [emoji625]tusiende na matarajio makubwa mno bali ndani ya uhalisia uliopo

arsenalbongo_-20200111-0001.jpeg
 
HIKI KIPAJI TUKITUNZE HATUKUKOSEA USAJILI WAKE

[emoji871] hatukukosea kutoa £6m usajili wa kijana huyu kimsingi ni potential na vijana wetu hale end wajifunze je ni nani huyu [emoji2] huyu hapa[emoji116]

[emoji733] #GABRIEL [emoji713]ARTINELL

[emoji871] ni mchezaji ambaye binafsi niseme ni #special_talent sijawahi kuwa na wasi wasi na,wabrazil walio wengi

[emoji871] ni kijana wa miaka 18 tu lakini cheza yake unaweza kusema ni ameisha kuwa matured enough

[emoji871] nikimuangalia gabriel napata tafsiri sahihi ya mpra kipaji na kujituma huyu anatumikia zaidi kipaji chake kuliko maswala mengine

[emoji871] naiona future nzuri kama tutamtumia kwa usahihi ni mzuri zaidi akicheza kama central forward anajua kujiposition anajua kutumia nafasi

[emoji871] licha kwamba hapa kwetu anatumika zaidi kama wing forward ila bado ni mzuri vile vile ana kasi ana dribbling skills kimsingi hii ni dhahabu

[emoji871] cha msingi zaidi tuitumie wakati sahihi kutunufaisha sisi (ata auba kamsifu dogo yupo #aggresive sana)

[emoji419]Note : mtazamo wangu huyu ni mzuri kuliko academy graduate wetu wengi

View attachment 1329280
Huyu ni Auba mpya!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tuendelee kuipenda na kuishabikia timu yetu, matokeo yake yakubalike na tuendelee kukosoa na kutegemea tutajirekebisha...
In gunners we trust...
COYG
 
SASA WEWE UMEZALIWA 2002 TUTABISHANIA NINI KUHUSU ARSENAL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hatuwezi bishana, ila mimi nawaangalia Gunners wale "Invincibles" pale Filbert Street Leicester, nikiwa tayari nimesoma, nimeoa nina watoto wawili, nimejenga boma langu, wewe ulikuwa na miaka mingapi kaka?
 
Tatizo lake anadhani yeye ndio shabiki mkongww wa Aesenal kumbe ni wa juzi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi leo tutaendelea kuwadidima ili muendelee kushuka zaidi adi nafasi ya kumi na tano....

Yale maneno muliyosema kuhusu Chelsea sasa yatawarudi nyie...

Point tatu + Clean sheet swaafi..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom