Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HEHEHEHE BODI IKIAMKA ARSENAL ITAAMKA TU EPL KWA AMBAO WANAICHUKULIA SERIOUS WANAPATA MATOKEO WAARABU WALIAMUA WAKAWEZA ROMAN ALIAMUA AKAWEZA LIVERPOOL WALIAMUA NOW MPAKA SASA WAMETUACHA POINT 35 KROENKE NA RECRUITMENT YETU HAWAJAAMUA TANGIA MIAKA 15 HUKO NDO MAANA HAWAJAWEZA NA NOW TUNACHUNGULIA SHIMONI EPL NI RAHISI KWA WANAOTAKA KUPATA MATOKEO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waarabu wako si unaona kinachowapata
 
NEXT SEASON WATAKUJA NA MOTO MKALI SANA ILA JE SISI UNAONA KUNA MABADILIKO KAMA AARON ANAVYOSEMA??MIMI NASEMA KAMA BODI NI HII HII TUTAENDELEA KUSEMA (INAHITAJI PROCESS)KILA MSIMU UKIISHA TANGIA 2006 HADI SASA HUKU WENZETU WAKIENDELEA KUWA NA VITENDO SISI TUKISEMA NENO (PROCESS)HAHAHAHA NACHEKA KAMA MAZURI ILA INASHANGAZA

MSIMU ULIVYOANZA TULIKUWA TUNASEMA NOW TUNARUDI CHAMPIONS LEAGUE NA KUBEBA EUROPA ILA NOW TUMERUDI TENA KWENYE NENO LA (PROCESS)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEXT SEASON WATAKUJA NA MOTO MKALI SANA ILA JE SISI UNAONA KUNA MABADILIKO KAMA AARON ANAVYOSEMA??MIMI NASEMA KAMA BODI NI HII HII TUTAENDELEA KUSEMA (INAHITAJI PROCESS)KILA MSIMU UKIISHA TANGIA 2006 HADI SASA HUKU WENZETU WAKIENDELEA KUWA NA VITENDO SISI TUKISEMA NENO (PROCESS)HAHAHAHA NACHEKA KAMA MAZURI ILA INASHANGAZA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nina safari ya London ntapeleka maombi yako.
 
Hana jema kwa timu yetu, hajui kwamba hao manyumbu tuliwagaragaza tena kwa mpira wa kiwango.. Nimeona anawaita wachezaji wetu kuwa ni takataka!.. Huyu ni mamluki, atakuwa shabiki wa chelsea huyu.. Naona akina cash money wameamua kubadili mbinu, wameleta mamluki aje atushambulie huku akijifanya Arsenal fan!.. Shabiki gani anayeita timu yake takataka!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7484.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hana jema kwa timu yetu, hajui kwamba hao manyumbu tuliwagaragaza tena kwa mpira wa kiwango.. Nimeona anawaita wachezaji wetu kuwa ni takataka!.. Huyu ni mamluki, atakuwa shabiki wa chelsea huyu.. Naona akina cash money wameamua kubadili mbinu, wameleta mamluki aje atushambulie huku akijifanya Arsenal fan!.. Shabiki gani anayeita timu yake takataka!..

Sent using Jamii Forums mobile app
OK KAMA WACHEZAJI WETU SIO TAKATAKA (SIO WOTE) MIMI NAKUTAJIA WACHEZAJI AMBAO NEXT SEASON HAWA LAZIMA WAWEPO WENGINE WOTE WAKIUZWA SIO MBAYA UNAJUA KAMA UNATAKA TIMU YETU ISHINDANE NA TIMU KUBWA KWENYE MAKOMBE MAKUBWA TUACHE UNAFIKI NA KUPAMBA SEHEMU AMBAYO HAIPAMBIKI YAANI ITIKADI ISIKULEVYE UKALETA SANA MAPENZI WATU WANANUNUA JEZI KULIPIA DSTV SABABU YA ARSENAL SASA INACHOSHA KILA IKIFIKA MECHI YAKO MATOKEO HAKUNA MIMI SIO MAMLUKI ILA MIAKA 16 SAME STORY NENO PROCESS HILI NENO MIMI NIMELICHOKA NATAKA KUSHINDANA NA WANAUME

AUBAMEYANG LENO TORREIRA KOLASINAC (HAWA WACHEZAJI WA 4 PEKEE HAWAJAWAH HATA SIKU 1 KUMDISSAPOINT SHABIKI WA ARSENAL KAMWE PIA HAPA NAMUONGEZA NA MARTINELI ) HAO WALIOBAKIA WANA HOMA ZA VIPINDI MARA KWA MARA ILA SABABU HUWEZI KUWAUZA WOTE KWA MPIGO IT'S OK ILA MTU WA KUUZWA WA KWANZA KWA MAONI YANGU NI OZIL TUCHUKUE KIJANA MPAMBANAJI WA KUWALISHA FRONT 3 MPAKA SASA MISIMU 2 ANA ASSIST 5 GOLI 1(SINA HAKIKA NA MAGOLI)NA KILA SIKU ANAPAMBWA SABABU YA HISTORIA YAKE NOW KESHAJICHOKEA NDO MAANA YEYE MWENYEWE HATAKI KUONDOKA HAPO SABABU ANAJUA HATAPATA TIMU TENA YA KUMLIPA 350K PER WEEK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA hao manyumbu na sisi tuna utofauti gani?siku tukiwafunga CHELSEA hyo j4 au MANCITY au LIVERPOOL hapo ndo ntaona angalau tuna hatua asilimia 80 tumepiga huyo NYUMBU anayefungwa na WATFORD au NEWCASTLE hata sisi tukiwafunga ni timu ya kawaida tu kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani city mbona kagongwa na NORWICH?WOLVERS?NEWCASTLE....
Chelsea nao mbona wamebamizwa na newcastle,bournamouth....
Soka halipo hivyo unavyofikiria wewe.....

Wewe una bichwa gumu sana....

Ila enjoy soccer brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILA KATUACHA point 16 NA MPIRA kuna kufungwa SARE AU KUSHINDA ila sisi ambao mechi 10 tumeshinda 2 hatuwezi kufanana na Leicester city ambaye alishinda mechi 8 mfululizo kaka Mimi naona tusijifananishe na hao TUANGALIE timu yetu ya ARSENAL KWA SASA tusijifananishe na hao top 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kumbe unajua mpira na matokeo yake eeeehhh sasa kwanini hayo matokeo yakitokea kwa Arsenal yanakuwa hayafai ila kwa city,united,chelsea sawa tu????

Ipo shida mahali...

KAKA HILI NDO LITAKUWA JIBU LANGU LA MWISHO SASA NIMESEMA TOP 3 HAO TUSIJILINGANISHE NAO ILA NAONA KATIKA KUJIDEFEND UNAWATAJA HAO MARA KWA MARA OK NGOJA NIKUWEKEE MSIMAMO MAANA HATUELEWANI NIMESEMA HAO WAMESHINDA MECHI ZAO MARA KWA MARA HATA AKIFUNGWA AU SARE SIO ISHU KUBWA ANGALIA WAMEFUNGA MAGOLI MANGAPI WAMEFUNGWA MAGOLI MANGAPI WAMESHINDA MECHI NGAPI SISI HATUSHINDI MAN NARUDIA KWA MSISITIZO HATUSHINDI MECHI 10 TUMESHINDA 2 NA MAKOCHA WAWILI TOFAUTI ARSENAL INGEKUWA INASHINDA MARA KWA MARA HUMU WAPINZANI WASINGEKUJA KUTUCHEKA KILA SAA NAWEKA MSIMAMO UKITULINGANISHA NA TOP 3 SITAKUJIBU

KWA SASA BODI YETU NA RECRUITMENT TEAM YETU IANZE KUFANYA KAZI SOON DIRISHA LITAFUNGWA MSEMO WA PROCESS UTAENDELEA KUTAWALA WAKATI WACHEZAJI UWEZO HAWANA TUNATAKA NA SISI TUSHINDANE SIO KILA MWAKA TUNAKUWA NA NDOTO KUBWA IKIFIKA JAN TUNALIALIA MIAKA 16 NI MTOTO SASA YUPO KIDATO CHA 4 AU 5 KABISA INAUMIZA SANA
20200120_154353.jpeg
20200120_154331.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAKA HILI NDO LITAKUWA JIBU LANGU LA MWISHO SASA NIMESEMA TOP 3 HAO TUSIJILINGANISHE NAO ILA NAONA KATIKA KUJIDEFEND UNAWATAJA HAO MARA KWA MARA OK NGOJA NIKUWEKEE MSIMAMO MAANA HATUELEWANI NIMESEMA HAO WAMESHINDA MECHI ZAO MARA KWA MARA HATA AKIFUNGWA AU SARE SIO ISHU KUBWA ANGALIA WAMEFUNGA MAGOLI MANGAPI WAMEFUNGWA MAGOLI MANGAPI WAMESHINDA MECHI NGAPI SISI HATUSHINDI MAN NARUDIA KWA MSISITIZO HATUSHINDI MECHI 10 TUMESHINDA 2 NA MAKOCHA WAWILI TOFAUTI ARSENAL INGEKUWA INASHINDA MARA KWA MARA HUMU WAPINZANI WASINGEKUJA KUTUCHEKA KILA SAA NAWEKA MSIMAMO UKITULINGANISHA NA TOP 3 SITAKUJIBU

KWA SASA BODI YETU NA RECRUITMENT TEAM YETU IANZE KUFANYA KAZI SOON DIRISHA LITAFUNGWA MSEMO WA PROCESS UTAENDELEA KUTAWALA WAKATI WACHEZAJI UWEZO HAWANA TUNATAKA NA SISI TUSHINDANE SIO KILA MWAKA TUNAKUWA NA NDOTO KUBWA IKIFIKA JAN TUNALIALIA MIAKA 16 NI MTOTO SASA YUPO KIDATO CHA 4 AU 5 KABISA INAUMIZA SANAView attachment 1328566View attachment 1328567

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wapinzani gani wanakuja kutucheka hapa?.. Mbona wewe ndo unaongoza kuishambulia timu Kila siku? Jana tu umesema tuna wachezaji takataka!.. Hapa huwa anakuja ARV kila timu yao inaposhinda au sisi tukifungwa, pia Cash money huwa anakuja hapa lakini jamaa ni muungwana huwa anakuja kutupa pole! Wengine wanaokuja hapa huwa wanapita mara moja moja then wanasepa. Wewe ndio unaongoza kuishambulia Arsenal katika jukwaa hili!.. Mimi huwa nashabikia pia Yanga, Biashara ya Musoma na zamani kidogo nilikuwa fani wa timu yangu ya mtaani ya black people pale majumba sita Ukonga!.. Asikwambie mtu hata ingetokea timu yetu ya black people ipate nafasi ya kucheza na Simba tungebaki na matumaini yetu kuwa huenda tunaweza kuifunga Simba ingawa tunajua kuwa kuifunga simba ni kazi kubwa sana, mara zote hatukuinanga timu kila tulipokuwa tunapewa kipiga pale Air wing jeshini! Tulibaki sold na timu yetu!.. Sasa wewe hapa ndio umekuwa mnangaji mkubwa wa timu yetu mpaka wapinzani wetu hawatusemi tena maana unawasaidia kutunanga kwa unangaji uliotukuka!.. Mara oooh, wachezaji wetu ni takataka tu, mara ile timu wanaume ni wanne tu, mara ooh timu hii ni ya hovyo sana, mara timu itoe pesa isajili wachezaji wa maana!.. Sasa hata sisi tunajua matatizo ya timu yetu na tunaamini yatafanyiwa kazi.. Yaani ni sawa na unaenda mtaani halafu unaanza kumponda mke wako kuwa hajui kukata kiuno usiku kunako majambozi, au mara oooooh, mke wangu anajamba sana usiku!.. Sasa hapo wenye akili wanakuona hamnazo.. Wewe unafikiri unacholalamikia kila siku sisi hatukijui? Yaani the same story kila siku mpaka watu wanakuwa bored. Sasa kama ulikuwa hujui timu zenye mashabiki wenye umri wa miaka kuanzia 30 hadi 50 ni Arsenal na Man u, mashabiki wa man city na chelsea ni wa juzi tu!.. Hapa kuna watu wanaijua Arsenal kuanzia ile Arsenal ya 1996!.. Ile Arsenal ya akina wiltod, tony adams na yule mchawi wa kiholanzi Dennis Beckamp!.. Sasa unapolalamika sana hapa mara oooh, naijua Arsenal tangu zaman, kwani unafikiri kuna shabiki wa Arsenal wa juzi hapa?.. Ndani ya hili jukwaa kuna waxheza mpira maarufu wa simba na yanga, pia kuna makocha nguli humu ndani! Usishangae hata JPM anaweza kuwa humu na anaifuatilia Arsenal!.. Sasa unaposema wapinzani wantushambulia hapa, mimi nabaki nakushangaa tu maana sisi sote tunapita humu!.. Nimefuatilia sana hoja zako nimegundua hujui kuwaelewesha watu kuamini kile unachoamini na unatumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja!.. Kiukweli toka uanze kuchangia hapa jukwaani, jukwaa limegeuka kuwa kero na sio tena jukwaa la sisi wana Arsenal kupeana faraja na up dates za timu yetu!.. Tafadhali toa mchango wako ambao ni constructive kwa jukwaa hili na sio kubomoa, toa mchango wako ambao utatujenga na kuimarisha umoja wetu na sio kutunanga!.. Siku hizi naona wapinzani wetu wamekuwa wanakuja hapa kukuunga mkono!.. Hivi kweli wewe huwa hujiulizi why wana gunners hawaku-support hapa?

SINA CHA KUONGEZEA KWA ULIYOYASEMA ILA NARUDIA NIMEIPENDA ARSENAL NA KUIVUMILIA KWA MIAKA 22 MZEE WENGER AMELISEMA HILI YEYE MWENYEWE KALIONA TUPO SAWA KIAKILI

KAMA HAUAMINI MIMI NI SHABIKI WA ARSENAL DAMU FUATILIA NYUZI ZA MIAKA YA NYUMA KABISA UTAONA MCHANGO WANGU NA KWA NINI HUKUNINOTE SABABU NILIKUWA KAMA WEWE YAANI MUDA WOTE KUISIFIA TIMU YANGU ILA BAADAE NKAONA HAMNA JIPYA KABISA KUMBE BODI HAINA AKILI KABISA YA MPIRA

NASEMA HIVI SIWEZI KUSIFIA KITU KIBOVU KAMWE MIAKA 16 NASIFIA SIFIA HUKU WAPINZANI WANATUCHEKA MTAANI KWA SASA HILO NIMEJITOA WEWE SIFIA ILA MIMI NTASIFIA PALE AMBAPO PANAHITAJIKA KUSIFIWA THAT'S IT

NIMEGUNDUA KITU KIMOJA TOKA KWAKO NA INAONEKANA UNAPENDA SANA KUSIFIWASIFIWA HATA KAMA NINGEKUWA NA MKE NI MBOVU KITANDANI NINGEMWAMBIA UKWELI BILA KUPEPESA MACHO
20200120_165444.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAKA HILI NDO LITAKUWA JIBU LANGU LA MWISHO SASA NIMESEMA TOP 3 HAO TUSIJILINGANISHE NAO ILA NAONA KATIKA KUJIDEFEND UNAWATAJA HAO MARA KWA MARA OK NGOJA NIKUWEKEE MSIMAMO MAANA HATUELEWANI NIMESEMA HAO WAMESHINDA MECHI ZAO MARA KWA MARA HATA AKIFUNGWA AU SARE SIO ISHU KUBWA ANGALIA WAMEFUNGA MAGOLI MANGAPI WAMEFUNGWA MAGOLI MANGAPI WAMESHINDA MECHI NGAPI SISI HATUSHINDI MAN NARUDIA KWA MSISITIZO HATUSHINDI MECHI 10 TUMESHINDA 2 NA MAKOCHA WAWILI TOFAUTI ARSENAL INGEKUWA INASHINDA MARA KWA MARA HUMU WAPINZANI WASINGEKUJA KUTUCHEKA KILA SAA NAWEKA MSIMAMO UKITULINGANISHA NA TOP 3 SITAKUJIBU

KWA SASA BODI YETU NA RECRUITMENT TEAM YETU IANZE KUFANYA KAZI SOON DIRISHA LITAFUNGWA MSEMO WA PROCESS UTAENDELEA KUTAWALA WAKATI WACHEZAJI UWEZO HAWANA TUNATAKA NA SISI TUSHINDANE SIO KILA MWAKA TUNAKUWA NA NDOTO KUBWA IKIFIKA JAN TUNALIALIA MIAKA 16 NI MTOTO SASA YUPO KIDATO CHA 4 AU 5 KABISA INAUMIZA SANAView attachment 1328566View attachment 1328567

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unalia na miaka 16 wakati wengine walikaa 50 wengine 30 lakini hawana mayowe kama yako mzee.

Kwa kuwa project ya Emery imefeli thats why yanakutoka tu.
unaweza ukamleta Mbappe Arsenal na akaflop tu, sajili huwa zinaenda na chance au unadhani pepe stats zake zilipikwa zile ,Di maria anafeli Man u anang'ara pengine, Man u kajaribu kila namna kuleta wachezaji wa pesa ndefu, kubadili makocha lakini wamechukua nini? unless usajili timu nzima kama Pep alivyofanya City
 
Back
Top Bottom