Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SINA CHA KUONGEZEA KWA ULIYOYASEMA ILA NARUDIA NIMEIPENDA ARSENAL NA KUIVUMILIA KWA MIAKA 22 MZEE WENGER AMELISEMA HILI YEYE MWENYEWE KALIONA TUPO SAWA KIAKILI

KAMA HAUAMINI MIMI NI SHABIKI WA ARSENAL DAMU FUATILIA NYUZI ZA MIAKA YA NYUMA KABISA UTAONA MCHANGO WANGU NA KWA NINI HUKUNINOTE SABABU NILIKUWA KAMA WEWE YAANI MUDA WOTE KUISIFIA TIMU YANGU ILA BAADAE NKAONA HAMNA JIPYA KABISA KUMBE BODI HAINA AKILI KABISA YA MPIRA

NASEMA HIVI SIWEZI KUSIFIA KITU KIBOVU KAMWE MIAKA 16 NASIFIA SIFIA HUKU WAPINZANI WANATUCHEKA MTAANI KWA SASA HILO NIMEJITOA WEWE SIFIA ILA MIMI NTASIFIA PALE AMBAPO PANAHITAJIKA KUSIFIWA THAT'S IT

NIMEGUNDUA KITU KIMOJA TOKA KWAKO NA INAONEKANA UNAPENDA SANA KUSIFIWASIFIWA HATA KAMA NINGEKUWA NA MKE NI MBOVU KITANDANI NINGEMWAMBIA UKWELI BILA KUPEPESA MACHO View attachment 1328645

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu swali jepesi kwako... shida ya Arsenal unadhani ni nini hasa? Hawatoi pesa nyingi kusajili au hawarecruit wachezaji wazuri...
 
Kwa hiyo mkuu swali jepesi kwako... shida ya Arsenal unadhani ni nini hasa? Hawatoi pesa nyingi kusajili au hawarecruit wachezaji wazuri...
KAKA HILI SWALI NAOMBA NIJIBU KESHO BAADA YA GAME YETU NA CHELSEA KUNA VITU NATAKA NIHAKIKISHE NIONE WAPI TUNAPOKOSEA ILA YOTE HAYO NI SAHIHI YAANI MAJIBU YANAFANANA YOTE YAANI MASWALI YAKO YOTE HAYO NI MAJIBU

NATANGAZA KURUDI KESHO BAADA YA GAME YA CHELSEA TUOMBE MUNGU TUSHINDE YAANI POINT 3 TULIPE KISASI SABABU KESHO TUKIFUNGWA ATMOSPHERE HATA ULAYA ITABADILIKA SANA

WACHEZAJI WALIOKO KESHO NA UHAKIKA SIO WA KUTUPA USHINDI KABISA WAWAIGE HATA NEWCASTLE NA BOURNEMOUTH ILA KAMA WATAJUA SISI HUKU MASHABIKI TUNAUMIA NA MATOKEO YAO YASIYORIDHISHA WAFIGHT KWA AJILI YA KOCHA NA MASHABIKI WOTE DUNIANI WA ARSENAL WENGINE HATA BAADA YA USHIND TUPATE GLASS ZA BIA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapinzani gani wanakuja kutucheka hapa?.. Mbona wewe ndo unaongoza kuishambulia timu Kila siku? Jana tu umesema tuna wachezaji takataka!.. Hapa huwa anakuja ARV kila timu yao inaposhinda au sisi tukifungwa, pia Cash money huwa anakuja hapa lakini jamaa ni muungwana huwa anakuja kutupa pole! Wengine wanaokuja hapa huwa wanapita mara moja moja then wanasepa. Wewe ndio unaongoza kuishambulia Arsenal katika jukwaa hili!.. Mimi huwa nashabikia pia Yanga, Biashara ya Musoma na zamani kidogo nilikuwa fani wa timu yangu ya mtaani ya black people pale majumba sita Ukonga!.. Asikwambie mtu hata ingetokea timu yetu ya black people ipate nafasi ya kucheza na Simba tungebaki na matumaini yetu kuwa huenda tunaweza kuifunga Simba ingawa tunajua kuwa kuifunga simba ni kazi kubwa sana, mara zote hatukuinanga timu kila tulipokuwa tunapewa kipiga pale Air wing jeshini! Tulibaki sold na timu yetu!.. Sasa wewe hapa ndio umekuwa mnangaji mkubwa wa timu yetu mpaka wapinzani wetu hawatusemi tena maana unawasaidia kutunanga kwa unangaji uliotukuka!.. Mara oooh, wachezaji wetu ni takataka tu, mara ile timu wanaume ni wanne tu, mara ooh timu hii ni ya hovyo sana, mara timu itoe pesa isajili wachezaji wa maana!.. Sasa hata sisi tunajua matatizo ya timu yetu na tunaamini yatafanyiwa kazi.. Yaani ni sawa na unaenda mtaani halafu unaanza kumponda mke wako kuwa hajui kukata kiuno usiku kunako majambozi, au mara oooooh, mke wangu anajamba sana usiku!.. Sasa hapo wenye akili wanakuona hamnazo.. Wewe unafikiri unacholalamikia kila siku sisi hatukijui? Yaani the same story kila siku mpaka watu wanakuwa bored. Sasa kama ulikuwa hujui timu zenye mashabiki wenye umri wa miaka kuanzia 30 hadi 50 ni Arsenal na Man u, mashabiki wa man city na chelsea ni wa juzi tu!.. Hapa kuna watu wanaijua Arsenal kuanzia ile Arsenal ya 1996!.. Ile Arsenal ya akina wiltod, tony adams na yule mchawi wa kiholanzi Dennis Beckamp!.. Sasa unapolalamika sana hapa mara oooh, naijua Arsenal tangu zaman, kwani unafikiri kuna shabiki wa Arsenal wa juzi hapa?.. Ndani ya hili jukwaa kuna waxheza mpira maarufu wa simba na yanga, pia kuna makocha nguli humu ndani! Usishangae hata JPM anaweza kuwa humu na anaifuatilia Arsenal!.. Sasa unaposema wapinzani wantushambulia hapa, mimi nabaki nakushangaa tu maana sisi sote tunapita humu!.. Nimefuatilia sana hoja zako nimegundua hujui kuwaelewesha watu kuamini kile unachoamini na unatumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja!.. Kiukweli toka uanze kuchangia hapa jukwaani, jukwaa limegeuka kuwa kero na sio tena jukwaa la sisi wana Arsenal kupeana faraja na up dates za timu yetu!.. Tafadhali toa mchango wako ambao ni constructive kwa jukwaa hili na sio kubomoa, toa mchango wako ambao utatujenga na kuimarisha umoja wetu na sio kutunanga!.. Siku hizi naona wapinzani wetu wamekuwa wanakuja hapa kukuunga mkono!.. Hivi kweli wewe huwa hujiulizi why wana gunners hawaku-support hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro umemaliza uyu jamaa kweli kwanzia leo nami naacha kusoma post zake humu jukwaani
 
KAKA HILI SWALI NAOMBA NIJIBU KESHO BAADA YA GAME YETU NA CHELSEA KUNA VITU NATAKA NIHAKIKISHE NIONE WAPI TUNAPOKOSEA ILA YOTE HAYO NI SAHIHI YAANI MAJIBU YANAFANANA YOTE YAANI MASWALI YAKO YOTE HAYO NI MAJIBU

NATANGAZA KURUDI KESHO BAADA YA GAME YA CHELSEA TUOMBE MUNGU TUSHINDE YAANI POINT 3 TULIPE KISASI SABABU KESHO TUKIFUNGWA ATMOSPHERE HATA ULAYA ITABADILIKA SANA

WACHEZAJI WALIOKO KESHO NA UHAKIKA SIO WA KUTUPA USHINDI KABISA WAWAIGE HATA NEWCASTLE NA BOURNEMOUTH ILA KAMA WATAJUA SISI HUKU MASHABIKI TUNAUMIA NA MATOKEO YAO YASIYORIDHISHA WAFIGHT KWA AJILI YA KOCHA NA MASHABIKI WOTE DUNIANI WA ARSENAL WENGINE HATA BAADA YA USHIND TUPATE GLASS ZA BIA


Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha!!

Mpira ni burudani ndugu, Hata Arsenal ikishuka daraja mashabiki watashuka nayo. Hata kesho tukifungwa na Chelsea hakuna atmosphere itakayobadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coyg
_20200114_203939.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Injury zimekuwa tatizo kwetu, Kolasinac na Sokratis wanaumia sana toka Arteta kaja, timu haibalance kabisa...
 
UKWELI UNAUMA SANA NA ARTETA KASEMA HATUTASIGN MCHEZAJI YOYOTE YULE KWA SASA ACHA TUENDELEE KUWA KWENYE PROCESS

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother milangomitatu, kuna kitu kimoja ulisema wewe ulikuwa unaumia ikifungwa Arsenal ya invincible, basi kwa reference hiyo chukulia poa tu matokeo ya sasa thn relax, usilalame kila muda mzee, unachafua hali ya hewa humu.
 
Wenger:

"I moved from Highbury, which was similar to Anfield, but there was a soul in the stadium. We built a new stadium but we never found our soul - we left our soul at Highbury. We could never recreate it for security reasons" #Arsenal
IMG_20200121_021311.jpeg
 
Back
Top Bottom