Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mfumo mbovu tu mbona akiwa na Sweden anaupiga mwingi. Shida ya Arsenal wingers wanaingia ndani na wanataka kufunga tofauti na timu zenye kutumia zaidi strikers mmoja kufunga kwa kumpa pasi zote muhimu.

Kama tutabadilika na kumpa Gyokeres pasi za kueleweka basi lazima afunge kama alivyokua Sporting au alivyo na Sweden

Ukiachana na mfumo Gyo lacks basic footballing skills ambazo mtu anayecheza mpira kawaida tu hata kama sio pro anazo. Ona anavyohangaika akipewa mpira na jinsi anavyopoteza kirahisi. Hana idea kabisa akipewa pass nini afanye. Kuna muda anafanya kitu cha kijinga hadi unajiuliza huyu jamaa alifikaje fikaje hiyo level.

Timu yeyote kubwa haiwezi kushinda mataji makubwa kwa kumtegemea Gyo kule mbele.
 
Squad inayoenda kumzika city

#No rice

Screenshot_20261129_182711_FotMob.jpg
 
Simuoni Declan Rice kwenye line up kwa kweli tumeshaumia tayari huyu jamaa ni engine ya team,bila huyu jamaa hii game tunapoteza.
 
Arsenal hii inabidi tuchukue ligi na uefa
Waliokua sub wanaingia first eleven ya timu kubwa nyingi

Imagine eze, Gyokeres, hincapie hawana namba ya uhakika arsenal
 
Midfield ya Merino na Guimaraes.

Hawa wote hawana pace, Merino anajijua hana pace so anacheza sana technical. Guimaraes hana pace ila ana nguvu na ni technical.

Hii nafananisha na midfield ambayo Elneny alicheza na Partey, walikua solid sana siku hiyo. Naamini kama hii mid itagawana majukumu focus igawanywe ya kuzuia na kugawa mipira watakua solid kuliko tunavyodhania.

Binafsi naona Gyokeres angeanza, Kai aingie sub.

Mid ya City on paper ni ya hovyo. Anderson na Bouaddi, naona tunaweza wasuffocate vizuri zaidi na hawa inverted fullbacks tulionao.

Box crusher Enzo anaweza jaribu kutusumbua na uwepo wake kwenye kikosi ni kumbana Haaland kwakua Enzo anaenjoy kushuti. I hope Guimaraes atampin huyu jamaa vizuri kabisa.

Hatuna individual brilliance humo ndani wala kwenye benchi. While City wana huyu Doku, Timber ana pace, ila Merino na Madueke inabidi warudi kuassist upande huo.

Ndiaye hua namuona miyeyusho. Kumzidi hata Semenyo.

Let the best team win.
 
Hua nasema Spurs kwa misimu miwili mfululizo hakushuka daraja kwakua walioshuka walikua na hali mbaya kumzidi na si kingine.

Hii inaweza apply kwa nyumbu, kiukweli i wish washuke daraja, ila ugumu unakuja kwa wapambanaji wenzao wa kutoshuka daraja.

Kimahesabu nyumbu anaweza kushuka daraja, wenzake walioshuka by this time walikua na points 12 yeye ana 8, kama atatupa hela vizuri January anaweza pata wachezaji. Ubaya ni kwamba wachezaji wazuri wengi kuwapata January ni ngumu
 
Midfield ya Merino na Guimaraes.

Hawa wote hawana pace, Merino anajijua hana pace so anacheza sana technical. Guimaraes hana pace ila ana nguvu na ni technical.

Hii nafananisha na midfield ambayo Elneny alicheza na Partey, walikua solid sana siku hiyo. Naamini kama hii mid itagawana majukumu focus igawanywe ya kuzuia na kugawa mipira watakua solid kuliko tunavyodhania.

Binafsi naona Gyokeres angeanza, Kai aingie sub.

Mid ya City on paper ni ya hovyo. Anderson na Bouaddi, naona tunaweza wasuffocate vizuri zaidi na hawa inverted fullbacks tulionao.

Box crusher Enzo anaweza jaribu kutusumbua na uwepo wake kwenye kikosi ni kumbana Haaland kwakua Enzo anaenjoy kushuti. I hope Guimaraes atampin huyu jamaa vizuri kabisa.

Hatuna individual brilliance humo ndani wala kwenye benchi. While City wana huyu Doku, Timber ana pace, ila Merino na Madueke inabidi warudi kuassist upande huo.

Ndiaye hua namuona miyeyusho. Kumzidi hata Semenyo.

Let the best team win.
Tunashinda kuanzia goal 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom