BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Congrats MANU fans (BJ & Co).... we did not deserve a single point from this match
teh teh mpoo? napita tu watani..
The longest four minutes.
kweupe mkuu tumekuja kukamilisha ratiba tu hapa tunaangalia mbele .
halafu BAK uliipania hii mechi naona itakupa usingizi mnono,ha ha..siku hizi arsenal haivutii game lake, labda vijana wamechoka kimawazo kutopata makombe.
Arsene Wenger do something mkuu? Mbu afadhali umeanza kuifananisha arsenal na chelsea..manure level nyingine!! poleni
Leo tumepiga game hovyooooo kinoma.hakuna kitu chochote sio pasi wala nini .
Congrats MANU fans (BJ & Co).... we did not deserve a single point from this match
Usisahau midfield na beki yangu imecheza vizuri vile vile akina Nasri na Chamakh waliwekwa mfukoni.Leo tumepiga game hovyooooo kinoma.hakuna kitu chochote sio pasi wala nini .
Hongera kwa utabiri wako mzuri....lol
Hahahahahahahah we mchokozi sana LOL! Hakuna kuweka picha leo.
Hang in there!
...Badluck wakuu, vita vinaendelea!
There's no reason kusikitika sana, Chelsea wenzetu weshazoea kufungwa hizi goli moja moja!
Unaambiwa line up yote ya arsenal iliyocheza leo ni clichy pekee yake ana medal ya epl wengine hola. Nilitaka tufunge magoli mengi lakini ushindi ni ushindi tuu ngoja nimtafute mbu na wacha1.
Zamu yenu ya kuchukua vichapo ndo imefika, jumamosi Stoke City wanakuja kuwavunja miguu na kuwalainisha tayari kwa kuliwa na Drogba tarehe 27....what a Christmas for Arsenil!!
[
...kwakweli kaka. Anyway, maisha yanaendelea. "Breaking News"; Big Sam - Sam Allardayce kibarua chake kishaota majani huko,
Bado ACHENI LOTE wa Chelsea!
Keep on waiting son! Carlo haondoki leo, mpaka ashinde treble, hii ndio ambition ya timu kubwa kama Chelsea. Kwa timu kama Arsenal Academy Club (Evra, 2010), ambiton ni kushinda Mickey Mouse Carling cup.
Unaambiwa line up yote ya arsenal iliyocheza leo ni clichy pekee yake ana medal ya epl wengine hola. Nilitaka tufunge magoli mengi lakini ushindi ni ushindi tuu ngoja nimtafute mbu na wacha1.
....ohhh yeah :thumb:,....watani wetu waki celebrate na Mickey Mouse Cup!
....ohhh yeah :thumb:,....watani wetu waki celebrate na Mickey Mouse Cup!
Leo kwa kweli Arsenal haijacheza vizuri na labda wajaribu kutafuta la kusawazisha na la ushindi.
Leo tumepiga game hovyooooo kinoma.hakuna kitu chochote sio pasi wala nini .
Moja ya mechi mbovu kabisa tulizopata kucheza
kweli ilikuwa siku yetu ya kuchapwa