Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa ndio umeongea nini,mara hakuna improvements mara sasa hivi tunadominate games...tatizo lako wewe una papara na hazifai kama kweli unataka mafanikio,

Hao Liberpool hawajafika hapo unapopatamani wewe kama uyoga tu...walisajiri kidogokidogo na kuacha wachezaji wasiofit katika mfumo kidogokidogo pia,huwezi january hii ukaacha timu nzima ukasajiri wengine hilo halipo kuwa mvumilivu dogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAI NDO KOCHA ALIYETOA DROO NYINGI TUKASEMA ASEPE NA PIA SABABU NYINGINE NI KUCHEZA MPIRA MBOVU MNO NDO AKAJA FREDDIE AKATOA DROO 3 AKAPIGWA 2 AMEKUJA ARTETA KATOA DROO 2 KASHINDA 1 LOST 1

BAADA YA HIZO TAKWIMU NIAMBIE IMPROVEMENT IPO WAPI?THEN TUENDELEE NA MJADALA HUMU MIMI NAMAANISHA IMPROVEMENT YETU NI KUDOMINATE NA KUCHEZA SEXY FOOTBALL ILA MATOKEO BADO NI YALEYALE SARE KIBAO (KUFUNGWA NA KUSHINDA HAPA NDO HAPAELEWEKI KUFUNGWA HATUFUNGWI ILA PIA KUSHINDA HATUSHINDI)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta ni mtu sahihi kwa sasa staili yake ya soka analofundisha inaonekana kabisa hata kwa mechi alizosimamia unaona kabisa ameshatengeneza first eleven yake tofauti na yule muhindi kila siku anafanya testing ya mifumo utadhani alikuja kujifunza ukocha

Kwa sasa timu inahitaji usajili Arteta atoe mapendekezo yake apatiwe watu anaowahitaji naamini akipatiwa mahitaji yake bila longolongo baada ya msimu ujao (sahau msimu huu na msimu ujao pia) tutakua tunatembea kifua mbele tukicheki mpira kwa burudani kabisa bila hofu yoyote

Ila ukweli kwa sasa hali ni mbaya lakini #hatutoki #hatuhami

#COYG
 
Arteta ni mtu sahihi kwa sasa staili yake ya soka analofundisha inaonekana kabisa hata kwa mechi alizosimamia unaona kabisa ameshatengeneza first eleven yake tofauti na yule muhindi kila siku anafanya testing ya mifumo utadhani alikuja kunifunza ukocha

HAPA TUPO PAMOJA NA SIO WA KUWATEGEMEA HAWA TULIONAO KWA SASA BILA USAJILI TUTAISHIA KUCHEZA SEXY FOOTBALL ILA MATOKEO BADO NI YALEYALE SARE SARE KUSHINDA KWA MBINDE WEEE SASA HIVI ARSENAL IKISHINDA HATA SISI MASHABIKI TUNAPAGAWA HUMU MAANA HATUAMINI KAMA TUMESHINDA HUU NDO UKWELI WENYEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Improvements ni:-

1. Kucheza mpira wa pasi nyingi/kuvutia
2. Wachezaji kuchezeshwa namba zao halisia
3. Beki zimeimarika hatupigiwi tena mashuti kibao.

Ila mwisho wa siku Arsenal tusahau ubingwa, hatuna wachezaji wa viwango vikibwa.

Embu muangalie PEPE, hivi kweli huyu ni mchezaji ama mwanasesere.

Muangalia Lacazette linavyogaragara chini kama linguruwe pori

Muangalie ozil livivu, lizembe, linakimbia kama limemeza fimbo.

Sent using Cash Money Wings
HAHAHA JAMAA WEWE NI MPINZANI NAJUA HUWEZI KUTUPENDA ILA UONGO DHAMBI UMEONGEA POINT KUBWA SANA SANA SINA CHA KUONGEZEA HVYO VITU 3 ULIVYOVITAJA NDO SAHIHI ILA MATOKEO BADO NI YALEYALE SARE SARE KUSHINDA KWA MBINDE WEEE KUFUNGWA KWA NADRA TULITAKIWA TUANZE KUSHINDA MECHI ANGALAU 5 KATIKA 9 ILA MECHI 9 USHINDI 2 UNASEMA KUNA IMPROVEMENT????

HAPA NDO HUWA NAPINGANA NA THE GUNNERS WENZANGU USAJILI NI LAZIMA MWEZI HUU UKISEMA HAWA HAWA WACHEZAJI WATUPELEKE MBELE NI KAMA UNASUBIRI SAMAKI AJE SIKU MOJA KUISHI NCHI KAVU MWEZI BADO HAUJAISHA MABOSI WAINGIE SOKONI FASTA

OZIL HATA MIMI NIPO TAYARI AUZWE ATAFUTWE HATA MADISSON MFANO SABABU OZIL ANA 32 NA HUWA NI KAMA ANA HOMA YA VIPINDI SIO MTU WA KUMTEGEMEA KWA KASI YA SASA YA EPL BADO TUNAMCHUKULIA NI GENIUS KWA MAMBO ALIYOYAFANYA LAZIMA ATAFUTWE MTU ANAYEKABA ILA PIA ANAPIGA PASS ZA KUTOSHA KWA WASHAMBULIAJI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSENAL EYEING HAKAN CALHANOGLU TRANSFER SWOOP FROM AC MILAN

https:/h/www.mirror.co.uk/sport/football/transfer-news/arsenal-eyeing-hakan-calhanoglu-transfer-21262801#ICID=Android_MirrorFootballApp_AppShare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndio umeongea nini,mara hakuna improvements mara sasa hivi tunadominate games...tatizo lako wewe una papara na hazifai kama kweli unataka mafanikio,

Hao Liberpool hawajafika hapo unapopatamani wewe kama uyoga tu...walisajiri kidogokidogo na kuacha wachezaji wasiofit katika mfumo kidogokidogo pia,huwezi january hii ukaacha timu nzima ukasajiri wengine hilo halipo kuwa mvumilivu dogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unapoteza nguvu bure.Hajui aliposimamia
 
Arteta ni mtu sahihi kwa sasa staili yake ya soka analofundisha inaonekana kabisa hata kwa mechi alizosimamia unaona kabisa ameshatengeneza first eleven yake tofauti na yule muhindi kila siku anafanya testing ya mifumo utadhani alikuja kunifunza ukocha

Kwa sasa timu inahitaji usajili Arteta atoe mapendekezo yake apatiwe watu anaowahitaji naamini akipatiwa mahitaji yake bila longolongo baada ya msimu ujao (sahau msimu huu na msimu ujao pia) tutakua tunatembea kifua mbele tukicheki mpira kwa burudani kabisa bila hofu yoyote

Ila ukweli kwa sasa hali ni mbaya lakini #hatutoki #hatuhami

#COYG
Arteta ni mtu na sahihi na ni kocha Bora kabisa.

There is a huge difference in too many things. Mechi ya Jana isitufanye tukaumia kichwa sana. Tatizo la Sisi tuna over-expect . Watu wanachukulia poa sana ila kucheza more than 20 minutes with a man down sio kitu rahisi especially kwenye EPL

Me nimeacha kubishana siku hizi maana hainisaidii chochote
 
Ujue hapa kuna makundi mawili ya mashabiki wapo ambao wanataka timu ishinde kila mechi kwa kikosi hiki hiki ila wapo wengine ambao wanampa kocha muda atengeneze timu yake kwaio kwa sasa wanaangalia mechi ili kukamilisha ratiba

Ila ukweli ni kwamba kwa sasa tupunguze matarajio kwa wachezaji tulio nao tukubaliane tu na matokeo tunayoyapata hatuna hao world class players wa kuweza kushinda games back to back
 
WHY DID ARTETA REPLACE TORREIRA AT HALF -TIME?

Our diminutive midfielder has been at his tenacious best recently, winning our December Player of the Month award, but was replaced by Matteo Guendouzi after just 45 minutes at Selhurst Park.

So why did Mikel Arteta bring the Uruguayan off?

"Matteo was really good when he came on as well, but Lucas has been in good form," our head coach said. "He's given us a lot but I had to get him off because he wasn't feeling good.

"It's a muscle injury. We'll have to assess it with the doctors tomorrow. We will know more the day after."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fredy alishinda moja kufungwa moja na droo mbili
UNAI NDO KOCHA ALIYETOA DROO NYINGI TUKASEMA ASEPE NA PIA SABABU NYINGINE NI KUCHEZA MPIRA MBOVU MNO NDO AKAJA FREDDIE AKATOA DROO 3 AKAPIGWA 2 AMEKUJA ARTETA KATOA DROO 2 KASHINDA 1 LOST 1

BAADA YA HIZO TAKWIMU NIAMBIE IMPROVEMENT IPO WAPI?THEN TUENDELEE NA MJADALA HUMU MIMI NAMAANISHA IMPROVEMENT YETU NI KUDOMINATE NA KUCHEZA SEXY FOOTBALL ILA MATOKEO BADO NI YALEYALE SARE KIBAO (KUFUNGWA NA KUSHINDA HAPA NDO HAPAELEWEKI KUFUNGWA HATUFUNGWI ILA PIA KUSHINDA HATUSHINDI)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIMU YA WANAWAKE INATUWAKILISHA SANA INAONGOZA LIGI NA KUTOA VIPIGO VIKALI BIG UP SANA SANA TIMU YA ARSENAL YA WANAWAKE

BORA HATA MNGEKUJA EPL KUTUWAKILISHA
20200112_180146.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakan Calhanoglu has been identified as a potential option to freshen up the attacking midfield options.

The player and his entourage are open to a move, with Euro 2020 just around the corner, and a loan deal could give him more game time ahead of the tournament.

[Mirror] ARSENAL on Twitter
 
Huyu Hakan vp kiwango chake!.. Kusema kweli sijawahi kumfuatilia kabisa!. Anaweza akatusaidia huyu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom