DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Kwani wewe ni jinsia gani mkuu?maana unaposema uwaachie wanaume wapambane ina maana wewe ni wa upande mwingine.HAHAHA ACHA TUWAACHIE WANAUME WAPAMBANE KUTAFUTA UBINGWA SISI TUENDELEE KUPEANA UPDATES ZA MAZOEZI TU NA TETESI ZA USAJILI AMBAZO NI NDOTO TU HAIELEWEKI NI LINI TUTAKUJA KUTWAA MATAJI MAKUBWA SIONI KAMA BODI INATAKA NINI MBELENI ZAIDI YA KUSHIRIKI EPL NA SASA HIVI NAFASI ZA CHAMPIONS LEAGUE SI ZA MASIHARA HAMNA DIRECTION YOYOTE ILE ACHA TUENDELEE KUSHIRIKI EPL TU BASI TUTAKUJA KUONA MBELENI NINI KITATOKEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu hiyo tabia ya majungu na mafumbo ni tabia za kike hizo .......kama wewe ni wa kiume bora ukaachana nazo......
Sent using Jamii Forums mobile app



