Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

LEO NIPATE FURSA KUMZUNGUMZIA HUYU BWANA

huwezi kupata utamu wa chai bila sukari ndio huwezi kupata kiwango bora bila mbinu sahihi kwa mchezaji husika.

je wahitaji kumjua huyu anayehitaji sukari usitoke hapo twende pamoja

#NICOLAUS_PEPE huyu ni kijana ambae kasajiliwa kwa dau la record ya club akiwa na pressure kubwa kucheza kufikia matarajio ya watu juu yake

pepe ni winger mda mwingine forward hasa akicheza kama forward wing ni mchezaji ambae ni mzuri mno kwe dribbling or take ons sio haba fatilia rate yake ya success ya dribbling zake

pepe alikosa rhythm sahihi kwake chini ya Emery. ,ambaye alikuwa Defensive sana kuliko Ku attack, ni mchezaji anahitaji free role ili apate wigo mpana kiuchezaji nafikiri kwa sasa atleast tunaanza kumuona Pepe tunae muhitaji

kuna aina ya wachezaji ni ngumu kuwaona team ikikosa patterns sahihi kiuchezaji sahau kuona kiwango chao basi pepe ni mmoja wao

hii haina maana ni mchezaji mbaya,

Chini ya arteta ndani ya game 4 akianza 2 amehusika kwenye #buld up ya magoal 3 mawili united na jana la nelson

unaweza kumuona pepe bora second half jana dhidi ya Leeds, kuliko first half msingi ni ule ule tulikuwa disorganised not matured in decisions kila mtu alicheza tu.

kazi nzuri ya Arteta kuwafokea muda wa mapumziko kama Lacazette alivyosema ndio ilirudisha form, pepe anahitaji support lakini anahitaji kujituma pia ili kufikia peak ya hali ya juu

sijawahi kuwa na wasi wasi nae toka anafika Arsenal kwani ubora upe mda tu maswala ya kusema kupigwa ni chachu ya kufanya vyema criticise ni part ya soka

FB_IMG_1578421390276.jpeg
 
Ila Gooners tukubaliane, mpira walioupiga jana *Leeds* nimeona ndio maana *Nketiha* iliwekwa bench

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vibaya sana mzee,wewe una mihemko sana...!!!!hata kama unaumizwa na mwenendo wa timu ila hii yako kali mzee.
Tatizo lako wewe sio mvumilivu na huna imani........!!!!!!alafu hivi nani kakuambia kuwa timu ikiwa championship basi ndio mbovu tu?????mpira umeanza kuangalia lini ndugu????umesahau Wigan Athletic washawahi kubeba hili kombe wakiwa championship????LEEDS wapo vizuri bwana ukatae ukubali hata kama Arsenal ni mbovu kwa sasa .....

Sent using Jamii Forums mobile app
na mkumbushe pia wigan alishawahi kumchalaza mancity 2014 FA Cup kipindi hicho. harafu analeta mihemko yake huku...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana ARSENAL HAICHUKUI VIKOMBE VIKUBWA KAMA CHAMPIONS LEAGUE EUROPA EPL KWA TAKRIBANI DECADE IMEPITA SASA ZAIDI YA FA PEKEE NARUDIA ARSENAL NI TIMU KUBWA HAO WACHEZAJI HATA WAENDE KWA MKOPO BADO SIJAONA JIPYA NARUDIA NA UTUNZE HII KAULI

KATIKA MAKINDA ARSENAL INA WACHEZAJI WA3 PEKEE AMBAO HATA SASA WAKIENDA KWA MKOPO BADO WANA VIWANGO NA PIA SI LAZIMA WAENDE HUKO NI MARTINELLI SAKA NA MARTINEZ (GOLIKIPA) HAWA NDO MAKINDA AMBAO HATA TIMU KUBWA ANAWEZA AKAPATA NAMBA

HAO WALIOBAKIA NI UCHAFU TU WAUZWE DIRECT HAWANA MSAADA HATA WAKIRUDI ARSENAL IANZE KUSAJILI WACHEZAJI WA VIWANGO VYA DUNIA HATA KWENDA SOUTH AMERICA MAANA KUNA VIPAJI MNO MFANO MARTINELLI ANA UMRI MDOGO ILA HUWEZI KULINGANISHA NA HAWA WATOTO WA EUROPE AMBAO TUNAO NDO WATACHANGIA SISI KUPATA MAKOMBE KAMA EPL NA MENGINEO MAKUBWA NA PIA LABDA TURUDI KUTAFUTA MADOGO UPYA KUWE NA RECRUITMENT YA UHAKIKA KUANZIA SASA NA SI YA MBABAISHAJI

NASHANGAA SANA MASHABIKI WENZANGU ETI SIJUI NELSON WILLOCK MATTEO ETI WAENDE MKOPO WATARUDI HII NI KAULI YA KUSHANGAZA NDO MAANA ARSENAL INA MIAKA 16 HAIJABEBA EPL KISA MAKINDA KAMA HAWA

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo matteo ukimweka sokoni unadhani hatonunulika kwa bei nzuri?! au?! maana naona unaongea porojo tu hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo matteo ukimweka sokoni unadhani hatonunulika kwa bei nzuri?! au?! maana naona unaongea porojo tu hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
MATTEO AKINUNULIWA ATAENDA TIMU ZILE ZA BOTTOM HALF EPL LAKINI SIO TOP HALF EPL (KAMA UNABISHA UNIAMBIE KATIKA TOP HALF ATAPATA NAMBA TIMU GANI )INATAKIWA UKIMUUZA MCHEZAJI AGOMBANIWE NA TIMU ZA JUU SIO ZA CHINI

ARSENAL KUTOKANA NA UWEZO WAKE KAMA BIG CLUB INATAKIWA IUZE WACHEZAJI KWENYE TIMU KAMA HIZO ILA KWA SASA TUNAISHIA KUWAPELEKA WACHEZAJI KWA MKOPO SABABU WACHEZAJI WENGI HAWANUNULIKI NA HATA TUKILAZIMISHA KUUZA HAWANUNULIKI (MF ELNENY NA MUSTAPHI) KAMA UNABISHA NIAMBIE MWISHO LINI ARSENAL IKATAKA KUUZA MCHEZAJI AKAFANIKIWA KUMUUZA?(UKIACHANA NA IWOBI AMBAYE KIWANGO CHAKE KILIKUWA HAKIELEWEKI NDO AMEENDA EVERTON)

ARSENAL WACHEZAJI AMBAO WANAWEZA PATA NAMBA KATIKA TIMU KUBWA NI WA 5 TU KWA SASA(OZIL(HATA HUYU SI SANA) AUBA LACA PEPE TORREIRA NA LENO)

TUKITAKA TUWE TUNAPATA VIKOMBE LAZIMA TUAACHANE NA HIZI TAKATAKA ZA HAO KINA WILLOCK SABABU UKIANGALIA MAN CITY BARCA MADRID NA WAKUBWA WENGINE HAWATAKI UJINGA UJINGA WAPO SERIOUS SANA NA VIKOMBE VIKUBWA LAZIMA TUWE NA WACHEZAJI ANGALAU 8 WALE WENYE QUALITY YA DUNIA HAO 3 UNAWEZA WATOA ACADEMY TENA WAWE SERIOUS NA WANAUJUA MPIRA ABADANI

Jifunze kutumia herufi ndogo bro, hii inakuwa kama unafoka.
 
ARSENAL NI TIMU YETU SOTE LAZIMA TUWE NAO BEGA KWA BEGA ILA MUDA MWINGINE INACHOSHA KUSHABIKIA TOP 4 AU 6 AMBAZO HAZINA MAANA YOYOTE BODI IMESHATULEMAZA SANA SANA HADI MASHABIKI MENTALITY YETU TUKIINGIA TOP 4 AU 6 TUNAPAGAWA KWA FURAHA HILI SUALA LINATAKIWA TULIONDOE KWA SASA TUANZE KUWA NA UHAKIKA NA MAKOMBE

KWA MASHABIKI WENZANGU WA ZAMANI MIAKA YA 90 KATI HADI MIAKA YA 2000 MWANZONI NAJUA MLIKUWA MNAIONA RAHA YA ARSENAL KUBEBA MAKOMBE ILA KWA SASA TIMU IMEKUWA BORA IENDE TU INASIKITISHA SANA ILA KAMA MASHABIKI WATAKUWA NA MENTALITY YA KUTAKA VIKOMBE HATA VIONGOZI WA JUU PIA WATABADILIKA

Arsenal inasifika kuwa na mashabiki wengi wanaojinyonga toka Africa, kunauwezekano shabiki atakayefuata kujinyonga akawa milango mitatu maana anaota ndoto za alinacha!.. Eti timu isajili wachezaji tisa, utatoa hizo hela wewe?... Timu zote kubwa huwa zina mchanganyiko wa wachezaji wa kariba ya juu na wachezaji wa kawaida na wanapochangamana wanaleta muunganiko mzuri!.. Ndio maana huko liverpool kuna akina chamberlan, hao ni average players lakini ndio wanaoleta ushindi.. Leceiter city wana average players wwngi mno lakini wanatisha kwa kuwa wana kocha wa kiwango cha dunia!.. Sasa wewe lilia Arsenal inunue akina messi tisa ndio ishinde, utateseka na stress kila siku maana hilo halitokuja kutokea!.. Mimi nakuhakikishia pale tukipata wachezaji 4 wa kariba ya juu (waxhezaji wa £50 hadi 100), narudia tena wachezaji 4 tu utaipenda hii Arsenal yetu!.. Hao wachezaji unaotaka tununue haiwezwkani kwa sababu kuna sheria ya Financial Fair Play hairuhusu.....

Nakubaliana na wewe kuwa timu inahitaj watu kama wa 4 hivi na kuhusu kujinyonga siwezi kama kujinyonga ningenyinyonga wakati tumepigwa 8 na MANCHESTER UNITED na 6 bila na CHELSEA ila kama mpaka sasa nipo shaka ondoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Transfer news: Arsenal are fighting to prevent highly-respected head of medical services Gary O'Driscoll from joining Liverpool. [@MailSport]
 
Arsenal are fighting to prevent highly-respected head of medical services Gary O'Driscoll from joining Liverpool. O'Driscoll is widely recognised as being one of the best in his field and Arsenal are determined to keep him at the Emirates. (Mail)
 
Mikel Arteta on transfers: “We don’t talk about any transfers & we are working on a few things. When the club has something to say, I will let you know.” #afc
 
Nakubaliana na wewe kuwa timu inahitaj watu kama wa 4 hivi na kuhusu kujinyonga siwezi kama kujinyonga ningenyinyonga wakati tumepigwa 8 na MANCHESTER UNITED na 6 bila na CHELSEA ila kama mpaka sasa nipo shaka ondoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tetesi Arsenal wametuma offer nyingine kwa Upamecano!.. Tuombe Mungu hili dili likubali tutakuwa tumepata jembe hasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom