Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna tetesi Arsenal wametuma offer nyingine kwa Upamecano!.. Tuombe Mungu hili dili likubali tutakuwa tumepata jembe hasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jambo sina uhakika nalo ila nahisi ,Arsenal walishampanga Dayot ,wameongea nae , ndio maana Arsenal hatak kusajiri beki mwingine wa long term plan ,anakomaa na Dayot. ,iwe January au summer .

Na Dayot kule kakataa kuongeza mkataba ,

Summer Arsenal walipeleka £60m ikakataliwa (Source: BILD na Sky sport German) wakitaka tuactivate release clause ya £88m

January bado wanakaza , Lakini Arsenal wamekomaa na huyu huyu kama First priority , na taarifa zinasema tukimkosa January tunarud summer na mzigo wa £50m ambapo watamuachia maana mkataba utakuwa unazid kupungua
 
Wachezaji wengi wapo fiti kuivaa C.palace


Kikosi kile kile kilichocheza na Man u ndio kitarudi kupambana na C palace


Predicted lineup

Sub

Ceballos , Nelson, Martinel , Martinez ,Gunduz
arsenalgoonerfanbase-20200108-0001.jpeg
arsenalgoonerfanbase-20200108-0002.jpeg
arsenalgoonerfanbase-20200108-0003.jpeg
 
Right folks, Arsenal Q&A coming up this afternoon. Get your questions in on Arteta, transfers and anything else.
20200108_130442.jpeg



Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal had the opportunity to sell Reiss Nelson for £20m in the summer, but Unai Emery opted against this decision, wanting Nelson to stay and prove himself, selling Alex Iwobi instead. [@TheAthleticUK]
 
Pepe akienda man city anatolewa kwa mkopo. Pepe Hajafika hata robo ya ubora wa Marhez na Bernado Silva.

Usajili wa PEPE kubalini mlijichanganya, acheni kumkingia kifua na kumpanga uongo na kweli.







Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mawazo yako hatuwez kuyapinga maana Katiba inakuruhusu kuongea chochote ili mradi usitukane wala kuvunja sheria

CIES THAMANI HALISI YA PEPE NI £79.4m

The CIES Football Observatory have listed the 166 footballers in the 'big five' leagues that are valued at more than €50million (£42.45million).


At the top are Kylian Mbappe and Raheem Sterling - the only two players valued at over €200m (£169.8m). And coming in at number 28 on the list is Pepe, valued at €93.5m (£79.4m).

With the Gunners having only paid £72m to Rennes for the winger, his value is said to have increased in his time in North London, and he is now said to be worth the same amount as Philippe Coutinho - more than Virgil van Dijk (€92.7m), Paulo Dybala (€91.2m) and Eden Hazard (€90.3m).
 
Huddersfield are plotting a move to sign Arsenal rising star Emile Smith Rowe on loan this month. Mikel Arteta is a big admirer of the player and is convinced he has a massive future at the club, but wants him to go out on loan and get playing time. [@SportsPeteO]
 
Middlesbrough have joined in the race to sign Arsenal youngster Eddie Nketiah on a loan until the end of the season. Boro manager Jonathan Woodgate keen on the player. [@TheNorthernEcho]
 
Arsenal inasifika kuwa na mashabiki wengi wanaojinyonga toka Africa, kunauwezekano shabiki atakayefuata kujinyonga akawa milango mitatu maana anaota ndoto za alinacha!.. Eti timu isajili wachezaji tisa, utatoa hizo hela wewe?... Timu zote kubwa huwa zina mchanganyiko wa wachezaji wa kariba ya juu na wachezaji wa kawaida na wanapochangamana wanaleta muunganiko mzuri!.. Ndio maana huko liverpool kuna akina chamberlan, hao ni average players lakini ndio wanaoleta ushindi.. Leceiter city wana average players wwngi mno lakini wanatisha kwa kuwa wana kocha wa kiwango cha dunia!.. Sasa wewe lilia Arsenal inunue akina messi tisa ndio ishinde, utateseka na stress kila siku maana hilo halitokuja kutokea!.. Mimi nakuhakikishia pale tukipata wachezaji 4 wa kariba ya juu (waxhezaji wa £50 hadi 100), narudia tena wachezaji 4 tu utaipenda hii Arsenal yetu!.. Hao wachezaji unaotaka tununue haiwezwkani kwa sababu kuna sheria ya Financial Fair Play hairuhusu.....

Sent using Jamii Forums mobile app

I believe Arsenal can fight for the title even with the current squad and coach
 
Value ya kile anachodeliver uwanjani ni kidogo sana, hakiendani na thamani ya pesa aliyolipa.

Mkuu nikuulize swali jibu kimpira mbele yako wamesimama Sane, Marhez, Benardo Silva, Pepe, James wa utd, Bale, Dybala.

Unaambiwa chagua mchezaji mmoja awe kwenye timu yako utachagua nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Players work on Tactic

Usidhan kila mchezaji unayemuona mzuri bas anacheza popote

Hivi James wa Utd ana jipya gani had unamdharau pepe ? Dyabala umemfatilia anavyocheza lkn? Umefatilia ratio yake ya magoli? Unamfahamu Sane wakati anafika city alikuwa je? Je unajua Kazi aliyofanya ARTETA na Pep kumshape Sane hadi Leo unamtaman? Bas hata pepe sio mbaya kama unavyoamini , Pepe ana skills , ni talent , ana uwezo waku take ons hata wachezaji watatu .Kilichotokea alikutana na kocha asiye sahihi .

Chini ya Arteta kwenye mpira wa flowing , na pass za harakaharaka ana cheza vzr labda kama umekariri pepe ni yule wa emery ambaye timu inakaa nyuma muda wote.

Hizi dharau Man u walikuwa wanampambanisha Pepe na James , wakati James anachojua ni mbio tu,

Arsenal vs man u aliwaziba mdomo .

Tuombe uzima baada ya mech 2 ,Arsenal tunakuja darajan , Ningependa Pepe awe fit aanze ,

Pepe chini ya Arteta amefunga na kutengeneza magoli 2 ,

Sasa kama wewe unaona pepe ni mbovu ,ni vyema uje na statistic ,
 
Pepe akienda man city anatolewa kwa mkopo. Pepe Hajafika hata robo ya ubora wa Marhez na Bernado Silva.

Usajili wa PEPE kubalini mlijichanganya, acheni kumkingia kifua na kumpanga uongo na kweli.







Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa kutoa mawazo.....

Unaweza sema hawapishani na Mrisho Ngassa na bado utakuwa sahihi tu kwani ndipo ulipogota kuona....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal 'will not challenge Tottenham for Thomas Lemar' with Atletico Madrid looking to offload the French winger this month

#AFC
 
Labda niangalie mechi ya Arsenal nimuone hiyò pepe wa sasa anachezaje. Labda niache ku question kiwango chake.

Mimi mchezaji akiwa mzuri namsifia sana.

Kuna wakati nilikuwa namsifia sana Leno kipa mzuri kwa saves alizokuwa anazifanya.

Na kila siku namsifia Auba ni mchezaji mzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ,toka aje Arteta ,pepe amebadilika sana ,

Ujio wa ARTETA amewabadilisha wachezaji karibu wa tano, hata Luiz amekuwa yule wa Chelsea , yupo free anaanzisha mashambulizi muda wote , ni kutokana na mfumo ,sio wakujilinda , mech na man u Tuliwatafuta kwa pressing na pass za haraka haraka , Hapo ndipo Pepe alipowaka , maana kuna wachezaji mpaka timu icheze kwa kushambulia ndio utawapenda ,
 
Back
Top Bottom