Upo sahihi kabisa, Guendouz positioning inamsumbua sana. Naamini Arteta atamuweka sawa tu.Wala hujakosea Huyo Marcelo Biesla anajua sana kuweka mpira chini
POOR PERFORMANCE IN THE FIRST HALF, BRAVO IN THE SECOND HALF
Mechi baada ya mechi matumaini yangu yanazidi kuongezeka kwa Mikel Arteta kutokana na aina ya uchezaji unaoonekana kwa sasa
Arteta sio mpole kama watu wanavyodhani ni mkali na anaonekana hataki mzaha kwenye kazi yake ,
Lacazette anasema walivyoenda mapumziko kawafokea sana kwanini hawachezi kwenye mfumo .
WAFUASI KWA KIBWETELE HAWAWEZI KUMUELEWA ARTETA
Ukiangalia aina ya uchezaji kwenye kipindi cha kwanza we was so bad but angalia kipindi cha pili tulivyokua tunawabonyeza kizenji
Arsenal inarudisha style yake ya uchezaji according to the performance ambayo tunaiona tunapiga pass na tunashambulia kwa kasi wallah pira hili tumekosa mndewa kama Samir Nasri nimemkumbuka sana leo
Marcelo Biesla ni kocha mkubwa and he knows, huyu ndo alomfanyia assessment pep Guardiola wakati anataka kuingia kwenye ukocha
Tangu Arteta awe coach mkuu wachezaji wengi wamebadilika , nilimsikia commentator anasema Arsenal fans walikua wanataka kuona passion na commitment ya wachezaji
Ukiangalia tulivyocheza kipindi cha kwanza na cha pili utaelewa nini naongea
Xhaka na Guendouzi hapa kuna tatizo hawana chemistry na anaemuharibia mwenzie ni Guendouzi, hajui kukaa kwenye position yake anataka awepo kila mpira unapoenda, anataka kila mpira auguse anaacha nafasi yake
Anakua kama kuku wanapofunguliwa bandani wote wanagombania mlango, Guendouzi he has to change la sivyo atamtaka ubaya Mikel
Nadhani aliambiwa hilo coz second half alituliza mchecheto alicheza mpira mwingi sana
Ozil he is a class nadhani mjadala tulishaumaliza, Luiz kama kawaida yake tushamalizana nae
I love the spirit of Sokratis Papa kuna kitu nimegundua , Strikers wanamuogopa sana jamaa mtemi halafu muigizaji anakuchezea rafu halafu anakuomba msamaha
Jamaa kama panya tu anan'gata na kupuliza
The Tank apewe mkataba Unai alitaka kumuuza huyu mtu daaah..!!
Kudos kwa Rob Holding alimfanya Luiz awe free, acheze atakavyo aende anapotaka nadhani ni wakati kuongezewa mkataba apewe miaka 5 zaidi .
Martinelli Mtu na Nusu dogo yupo aggressive sana , ana nidhamu he knows how to press and he knows how to score
We gonna make big deals kwa Gabriel Martinelli na Rob holding
Sijawahi kuumiza kichwa endapo ataumia Leno huwa nakuwa free coz Martinez huifanya kazi ile ile wote wakali bila Martinez furaha ingetoweka leo
Next stop to crystal Palace wanatusumbuaga sana hawa , Arteta nipigie wakina Zaha nizidi kukupa vyeo
KAULI YANGU NI HII
ARTETA IS OUR MAIN MAN, ARTETA IS OUR SAVIOUR, ARTETA IS GONNA MAKE BIG THINGS IN THIS GENERATION
TUENDELEE KULA MTORI NYAMA ZIPO CHINIView attachment 1314439
Sent using Jamii Forums mobile app

. Wewe ni moja ya mashabiki wachache wa Arsenal wanaojitambua. 

hata serikali ili ijenge imani kwa wananchi inahitaji transparent(uwazi) na responsiblities( uwajibikaji) ni ipi dhana ya tafsri ya hiki nipe sikio je uko tayari