Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bayern respond to Jerome Boateng to Arsenal rumours
#AFC
jerome-boateng-fc-bayern-munchen-1565510540-24552.jpeg



Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Man City are considering a move for Pau Torres to plug their leaky defence.

Barcelona, Arsenal and Liverpool have all been keeping tabs on him over the past few months, and he has been hugely impressive.
 
The Mirror are reporting that club insiders claim that Özil looks like a new player in training under Arteta.

The Spaniard has handed him specific instructions, which have reinvigorated his spirit. These include taking up the half spaces on the right hand side when attacking.
IMG_20200105_174024.jpeg
 
Toka muda mrefu karibu Siku 4 zimepita walisema hivo , alisema Darmaesh Seth reporter wa Sky,


Inawezekana ikawa kweli , lakin sio kweli tunaweza tusisajiri , kuna kupata wachezaji kwa loan with option to buy.

Arsenal ipo kwenye hatari ya kufungiwa kusajiri kama itatumia hela maana mapato yameshuka kwa kutocheza UCL , hata dirisha kubwa , Team owner aliweka hela ya kwake kutoka vyanzo vingine ,

Lakini ARTETA mwenyewe amesema Kutokana na majeruhi ataongeza beki


Dirisha la January ni gumu, Arsenal sidhan kama watasajiri zaid ya watu wawili , hii ni ili summer ndio wafanye usajiri .

Target karibu zote zinazotakiwa , January imekuwa ngumu kuzipata

Heri ya mwaka mpya Aaron, nimelipenda sana hili jibu lako.
 
Yaani hierarchy wakiona hivi mpango na Ziyech wanasitisha kabisa
The Mirror are reporting that club insiders claim that Özil looks like a new player in training under Arteta.

The Spaniard has handed him specific instructions, which have reinvigorated his spirit. These include taking up the half spaces on the right hand side when attacking.View attachment 1313248


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Shida inaonekana ozil anavyozidi kushine huyu ziyech anaweza asije Arsenal


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Ziyech hawezi kuwa no 10, siamini hivyoo mkuu, yule ni mzuri akitokea kwenye flanks, na ikitokea amekuja Arsenal basi namuona Pepe akiwa scapegoat, lakini kuna baadhi ya mechi inawezekana Auba akacheza CF then Pepe na Ziyech wakatokea kwenye Flanks.Kama atasajiliwa huyu, itakuwa usajili mzuri sana.
 
Thomas Lemar:

-Very highly rated at Monaco.
-Nearly joined us back in 2017 for a fee in the region of £90m.
-Ended up at Atlético Madrid and has been very underwhelming.
-Still only 24.
-Linked with a January move to Arsenal on loan with an option to buy.

Your thoughts?
IMG_20200105_180428.jpeg
 
Thomas Lemar:

-Very highly rated at Monaco.
-Nearly joined us back in 2017 for a fee in the region of £90m.
-Ended up at Atlético Madrid and has been very underwhelming.
-Still only 24.
-Linked with a January move to Arsenal on loan with an option to buy.

Your thoughts? View attachment 1313669
Wafanye hivyo aje kwa mkopo akifaulu poa akifeli bac...
 
“When you win you don’t want to stop. You become addicts. We have to implement that at this football club.”

Mikel Arteta wants to get Arsenal addicted to winning trophies again - starting with the FA Cup

IMG_20200103_232713.jpeg
 
Back
Top Bottom