Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
It's more like £40m for Upamecano - he's only got 18 months left on his contract and I believe he has already said he doesn't intend to sign another.

Hayters TV on Twitter
Hivi vikombe vya FA na Europa tukiweza tuvibebe tu walau tuendelee kuvimba zaidiMikel Arteta is taking the FA Cup very seriously
View attachment 1310309![]()
Arsenal press conference live: Arteta on Aubameyang and Leeds
Live coverage of Mikel Arteta's pre-match press conference ahead of the FA Cup tie against Leeds United, with the Arsenal boss set to discuss Eddie Nketiah's future and moret.co


Hivi kumbe mliweka hicho kipengere , dogo ni moja ya CB wazuri sana hapo EPL .Mchezaji wetu huyu tulimuuza na kwenye mkataba wake kuna Buy back as first priority. Tunamrudisha home
Sent using Jamii Forums mobile app





#NEW PROJECT TUZIDI KUMPA SAPOTI ARTETA
wahenga waliwahi kusema pole pole ndio mwendo wakaongeza mvumilivu hula mbivu
japo mimi sio muhenga ila nipe sikio kwenye mtazamo huu

nakumbuka msimu wa kwanza Guadiola alisota ku install falsafa zake kwa aliwaokuta ujue adaption ina hitaji utayari na muda
arteta ame copy almost 85% ya pep hivyo anahitaji ukamilifu mkubwa unaohitaji muda pia na watu sahihi kwake
aliulizwa kuhusu kusajili akasema anahitaji assessment pia ya kujua atahitaji nini kwenye usajili baada ya kujilidhisha na vile ka fundisha kwa game kadhaa.
arteta amebadili kabisa philosophy mbovu iliyokuwa imejengwa kwa wachezaji kiasi kwamba hata kupiga complete pass ilikuwa ni mtihani japo bado kuna shida kumaliza mechi kwa Spidi ile ile tunayoanza nayo,
arteta atahitaji pia usajili wake ili kuboresha kile anatengeneza ujue ukihitaji kuboss midfield lazima uwe na viungo wenye capability kubwa ya upigaji pass timilifu refer pep na kina xavi na iniesta.
hvyo basi flow yake kimchezo inahitaji pumzi kwa misingi hii anaweza kuleta kiungo mmoja CM january hii ( kama akihitaji)
mwisho narudia kauli yangu niliyowahi kusema players works on tactics na hiki kitu ndio kimeonesha utofauti mkubwa kiuchezaji, arsenal ile ya emery na hii
Kweli wengi hawamjui xhaka akiwa Monglenbach au uswisi ,Fans wanaodai Granit Xhaka aondoke wengi hawajamuelewa au hawakumfuatilia before Arsenal. Xhaka is pure class...
Same Özil, Kolašinac na Shkodrani hawa wachezaji wakitulia vizuri wanafanya majukumu yao vizuri.
Mapungufu yapo kwa kila mwanadamu
mbona tunachukua beki walioenda age sana, kuna siri gani?Bayern want £13m for Jerome Boateng. Arsenal have already made initial contact with Bayern and have not ruled out interest in him.
[@Sky_Marc - @SkyGermany]