Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta:

“The second half, we knew physically we were gonna drop. At the moment we’re not ready to maintain that level of intensity through the 90 minutes, but the spirit, commitment, and desire the boys are playing with at the moment is terrific.”

IMG-20200102-WA0006.jpeg
 
Arsenal fans very hypocrite..... Sahivi ukitembea social networks utaona wanapiga kelele Xhaka abaki wakati ndo haohao walimuombea binti yake apate kansa afe.... Kweli mpira bila unafiki hauendi.
EMERY ndio tatizo, alichonganisha mashabiki na Xhaka ,

Niliwahi kusema humu, Mateo hatakiwi kuanza mbele ya kina Xhaka na LT11 ,

Alichokifanya muhindi , Xhaka anampanga DM ,Mateo namba 8

Sasa xhaka ukimuweka DM anafanya errors kibao ndio shida ikaanza hapo ,had kugombana na mashabiki .

Lakini kiuhalisia Xhaka ni Namba 8 na LT11 ni DM

Hapo ndipo utaifaidi show

Gunduz hajafikia uwezo wa kuanza mbele ya hawa wanaume ,

Arteta kamrudisha LT11 DM na Xhaka as namba 8

Mech ya 4 hii anaperform kwa uwezo mkubwa

Kwahiyo makocha muda mwingine ndio wanatuchonganisha na wachezaji,

Lt11 aligoma hata kumtakia kheri Emery kwa alivyotaka kumuharibia career yake .

Alisema hawez kumchezesha DM eti ni mfupi ,
IMG-20200102-WA0007.jpeg
 
EMERY ndio tatizo, alichonganisha mashabiki na Xhaka ,

Niliwahi kusema humu, Mateo hatakiwi kuanza mbele ya kina Xhaka na LT11 ,

Alichokifanya muhindi , Xhaka anampanga DM ,Mateo namba 8

Sasa xhaka ukimuweka DM anafanya errors kibao ndio shida ikaanza hapo ,had kugombana na mashabiki .

Lakini kiuhalisia Xhaka ni Namba 8 na LT11 ni DM

Hapo ndipo utaifaidi show

Gunduz hajafikia uwezo wa kuanza mbele ya hawa wanaume ,

Arteta kamrudisha LT11 DM na Xhaka as namba 8

Mech ya 4 hii anaperform kwa uwezo mkubwa

Kwahiyo makocha muda mwingine ndio wanatuchonganisha na wachezaji,

Lt11 aligoma hata kumtakia kheri Emery kwa alivyotaka kumuharibia career yake .

Alisema hawez kumchezesha DM eti ni mfupi , View attachment 1310002
Nimekusoma
 
IMEKULA KWAKE KAMA SISI ILIVYOKULA KWETU

Craig Pawson mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Arsenal dhidi ys Chelsea amepewa adhabu ya kutochukua malipo yoyote jumla ya mechi 21 kwa kutomtoa kwa kadi nyekundu Mchezaji wa Chelsea Gorginho

Mi naona wangemshusha daraja tu

January transfer window
FB_IMG_1577953635857.jpeg
 
Aliyekwambia kisa kocha mpya nani?

Arsenal ilishapoteza filosoph yake , hata pass 10 ilishindwa ,

Mech za away tunakaa nyuma

Kila mech kupigiwa mashuti 15+ had 20+ ilikuwa kawaida

Arteta anairudisha timu kwenye njia, na mazoez anachofundisha ndicho tunakiona uwanjani,

Ww unasema kisa kocha mpya ?
Sawa boss - yangu macho!
 
Aubameyang on his future:

"The English press likes to talk a lot. Right now, I'm here. I'm 100% here" #Arsenal
 
Sawa boss - yangu macho!
Ww endelea kutazama , hakuna uchawi,

Tuliyoyaona ya unai emery ,na hadi sasa tunajua kazi kubwa anayoifanya arteta

Ni tactic ndio zinafanya kazi ,mpira ni mchezo wa wazi,

Ljumberg aliachiwa timu bado pamoja na kuweka morali , lkn timu haikuwa naabadiliko makubwa ,maana alikosa Tactic .
 
)

Leipzig issue Upamecano statement

RB Leipzig have dented Arsenal’s hopes of signing Dayot Upamecano this month.

Arsenal are currently contemplating making a bid for the 21-year-old centre-back, whom they’ve been long-time admirers of.

Express Sport understands Arsenal’s head of football Raul Sanllehi has held discussions with the Bundesliga side over a potential January deal.

A £50million bid for the Frenchman - who is refusing to sign a new contract at the Red Bull Arena - has been mooted.

Leipzig, however, have publicly declared they have no interest in parting company with the France Under-21 international.

The Bundesliga side issued a defiant statement on Upamenano’s future after seeing a tweet from an Arsenal fan that read: “Me waiting for Upamecano to be announced.”

Leipzig responded to the tweet with GIF of former WWE star Wade Barratt, which had the
 
Umekomea njiani....,Finishup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww endelea kutazama , hakuna uchawi,

Tuliyoyaona ya unai emery ,na hadi sasa tunajua kazi kubwa anayoifanya arteta

Ni tactic ndio zinafanya kazi ,mpira ni mchezo wa wazi,

Ljumberg aliachiwa timu bado pamoja na kuweka morali , lkn timu haikuwa naabadiliko makubwa ,maana alikosa Tactic .
Aaron
hivi ljumberg anakazi gani saivi mechi kama mbili naona yupo jukwaani au arteta kampiga chini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda wa wiki 21 hivi nijipa likizo ya kutoa angalia mechi za Arsenal kutokana na performance mbaya ambayo timu ilikuwa inaonesha enzi za Unai Emery.

Shukrani kwa uongozi kwa kusikia kilio chetu kwa kutuondolea Unai, kwa kipindi chake tumedhalilika sana, tumeonewa sana hata na vitimu vidogo visivyo hata na hadhi.

Ingawa ni mapema sana kumpima kocha, lakini nachelea kusema Mikel Arteta ameonesha dira. Ukishaona timu inacheza na inamiliki mpira, manake una kuwa na uhakika wa kupata ushindi angalau 40% ukiongeza na technicalities za kocha basi mnakuwa na uhakika wa kushinda.

Maoni yangu binafsi, ningependa kuona tunafanya usajili wa beki, na kuongeza kiungo. Miaka mingi, Arsenal tumekuwa tukisifika kwa kuwa na viungo wabunifu. Hili eneo Kuna haja ya kuboresha.

Young players hasa akina Willock, Nelson, Saka, Guanduz and like wangetafutiwa vilabu waende kwa Mkopo ili kuzidi kupata uzoefu. Kwa hali tuliyonayo, tunahitaji timu yenye wapambanaji ili kutuokoa hapa tulipo.

Kuna haja Pepe, Aubamiyang, Lacazette, Ozil, Xhaka, Lucas Torreira wawe wanaanza, Kama ilivyotokea Jana. Hi huwa inafanya timu pinzani isipate nafasi ya kufunguka sana, kwani athari za hao vijana pale mbele huwa inawatisha.

Tukiendelea kucheza hivi kwa kujituma, tunarudi Top 4 yetu na hatimaye kucheza UEFA mwaka huu.
COYG🏋💪💪
 
IMEKULA KWAKE KAMA SISI ILIVYOKULA KWETU

Craig Pawson mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Arsenal dhidi ys Chelsea amepewa adhabu ya kutochukua malipo yoyote jumla ya mechi 21 kwa kutomtoa kwa kadi nyekundu Mchezaji wa Chelsea Gorginho

Mi naona wangemshusha daraja tu

January transfer windowView attachment 1310013
Huyu mzee fala sana,yeye ndio alikuwa mchezaji wa 12 wa chelsea siku ile,ndio maana VAR naonaga ni upumbavu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tomas Lemar is not playing well with Atletico Madrid but if he signs for Arsenal, I believe Arteta will make him a greater player. Lemar can play AM & Winger but with Arteta he could also play CM. A loan deal with an option to buy is a good deal in my opinion. #afc
 
Back
Top Bottom