Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Confirmed Man United squad vs Arsenal in full (via Manchester Evening News):

David de Gea, Sergio Romero, Lee Grant, Aaron Wan-Bissaka, Harry Maguire, Victor Lindelof, Phil Jones, Brandon Williams, Ashley Young, Luke Shaw, Nemanja Matic, Fred, Andreas Pereira, Jesse Lingard, Daniel James, Juan Mata, Marcus Rashford, Anthony Martial, Mason Greenwood, Tahith Chong, Angel Gomes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa asernal wanatabia ya kujinyonga waliko karibu na Aaron@ walete mrejesho kitendo cha kufungwa na chelsea. Tena emirate kilimfadhahisha sana mdau na ikumbukwe chelsea hii ambayo haijasajili ?
 
Hii Bodi kwa kumdharau RAMSEY waliyumba kwa kweli, Yaani leo tunahusishwa na Rabiot wakati Mid wa aina yake tulikuwa naye kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Emery kwa kweli utafikiri alitumwa kuja kutuvuluga!.. Huwa nakaa nawaza, hivi alifikiria nini kumuuza Ramsey halafu wakati huo huo anamuweka bench Ozil!. Toka aondoke Carzola angalau Ramsey alikuwa amefanikiwa kuziba pengo lake!!.. Kiukweli kuanguka kwa timu yetu kumesababishwa na yule mjinga kumuuza Ramsey!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Granit Xhaka, Dani Ceballos wamejumuika na wenzao katika mazoezi ya jana na leo.

Inategemewa kumuona Ceballos au Xhaka akishirikiana na Toreirra katikati ya dimba.
 
Leo ndo leo akikaa Kati MATTEO G tutakula tena mvua kama kawaida yetu sisi wazee wa sare na Vipigo tusijipe Matumaini mechi ya Leo hata juzi nilisema humu kwa sasa tupotupo tu hatujui tunachokitaka sisi mashabiki wa Arsenal huwa tunapenda sana KUJIPA MATUMAINI ila Leo naona wote tupo neutral hili ndilo linalotakiwa kwa sasa sababu hatuna timu ya Viwango ya kushindana na wakubwa zetu kwa sasa

Niwe mkweli sababu sitaki stress mechi ya leo Arsenal nampa 40 % Manchester 60 % kushinda ila lolote linaweza kutokea katika Mpira wa Miguu

MIMI NINA MIAKA 20 NAISHABIKIA ARSENAL YANGU ILA NKIONGEA UKWELI NAONEKANA SIO SHABIKI WA DAMU ILA UKWELI UNAKUWEKA HURU SANA NA NDO ITIKADI YANGU KATIKA MAISHA YANGU BINAFSI PIA HAITAKIWI KUFICHA UKWELI KAMWE

COYG !! HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medley alifanya mazoezi na timu A inawezekana akawepo katika wachezaji wa akiba.
 
Kimsingi mechi ya leo ni ngumu sana!.. Kitu kinachonipa matumaini ni kuwa kocha keshaanza kuibadili timu japo hatujaanza kupata ushindi!.. Hebu fikiria timu haina full backs (wote majeruhi), mabeki wa kati wanafungisha ovyo bila sababu, Chambers, holding majeruhi.. Yaani saka anacheza namba tatu!.. Mechi ya leo naamini tutapigana sana.. Lakini napenda kuwaasa ndugu zangu wana Arsenal kama tukifungwa leo tusikate tamaa na kuanza kumlaumu kocha!.. Wote ni mashahidi mechi iliyopita tulicheza vizuri na viwango vya wachezaji Ozil vimeanza kuboreka, sema kuna mapopoma siku ile walituharibia ushindi wetu na kitupa majonzi tele!.. Leo natumaini tutakipiga vizuri kabisa na kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii mechi kama tutadominate mpira, lakini pia tunaweza tushishinde kutokana na full backs wetu wote watatu kuwa majeruhi na centre backs wawili pia kuwa majeruhi.. Kea hiyo tukifungwa tusikate tamaa!.. Hebu fikiria kocha amepokea timu toka kwa yule popoma aliyemuuza Ramsey na kutultea balaa pale kati!.. Kiukweli kitendo cha kumuuza Ramsey na kumpeleja Miki kwa kumkopo kimesababisha timu isiwe na balance kabisa.. Mimi bado naamini Miki ni mchezaji mzuri ambaye anaweza kutusaidia ukilinganisha na hawa waliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Brighton anampa shda Chelsea na ni timu ya kawaida tu!! Sisi juzi tulishindwa nini na tunajijua ni TIMU KUBWA?MPAKA CHELSEA AKATUZIDI KILA KITU?NDO MAANA KWA SASA NAONA SISI ARSENAL NI TIMU NDOGO TU YA KAWAIDA ILA JINA LINATUBEBA NA TUNALOJIDAI NALO WAKATI KIUHALISIA NI KAJITIMU CHA KAWAIDA

TUKISHINDA DHIDI YA MANCHESTER UNITED NA CRYSTAL PALACE AWAY ANGALAU NTAPUNGUZA KUSEMA UKWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom