Katika mchezaji hajaperform lakini bado namkubali ni Pepe.Pepe aboreshewe mkataba, kiongezwe kipengele cha masharti kwamba asipofunga au kuassist ndani ya mechi 5 mfulilizo akatwe mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepunguza miaka we andika 30 kabisa Liverpool haijabeba kombe la EPLMwambie tangu jezi zianze kuandikwa majina Mgongoni LIVER hajawahi beba ndoo 27 years now
Sent using Jamii Forums mobile app
Auba na pepe basi pepe amejiunga Arsenal yanye mapungufu kila sehemutimu nzima ya arsenal mchezaji w maan kidg ni mmja tu AUBA ,wengine wote ni wakuuza ama kutokea sub so kwa budget y arsenal n kocha alie kwa sasa ,inahitajika si chini y misimu mitatu irudi arsenal ile tunayoijua.. kwa shbiki anaejua soka inatka nini haezi kuwa bothered sna kwa form y sasa.
kwa huo "u-sasa" wolves ina vikombe vingapi?
hivi arsenal ina injury ngapi? kabla ya mechi ya chelsea...mbona ufikirii bro!Mkuu next game unaionaje dhidi ya Manchester United?Mimi nasema tukipona tutafungwa 2 au 3 sababu Manchester United watakaa nyuma na kufanya counter attack Mwaka huu mpaka bodi akili zitarudi na kukaa sawa Manina kabisa kama Arteta hii mechi kaishindwa ya Man u asijisumbie tutakula kipigo takatifu hvyo tujiandae kwa kipigo na kuwa nafasi ya 15
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo kazi yake ni kutujazia saver jf.Mkuu mbona povu jingi kama hii timu ndio kwanza umeanza kuipenda jana????
Sifa ya shabiki ni uvumilivu.
STAMALA .
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi arsenal ina injury ngapi? kabla ya mechi ya chelsea...mbona ufikirii bro!
chelsea halikuwa hana sababu za maana kufungwa hii mechi, kwa sababu alikuwa amekamilika karibia maeneo yote.
kwa arsenal ya sasa yenye majeruii wengi, ilikuwa 50 kwa 50 na kushinda au ku-draw kwetu ilikuwa inapewa nguvu kwa sababu tulikuwa nyumbani! wala sio head to head history.
jaribu kuwaza basi kidogo ndo ukomenti afu punguza hasira na miemko.
hii ni soccer, relax
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dully Yale manyumbu lazima tuyale nyama ..hatuwezi kupigwa Mara mbili sisi ..tena mbele ya Arteta!!! Nooo ..zile mama united apo jtano tunaliza ...Luiz alicheza mpira,kama ile ya Tammy ulitaka iwe tuta basi na ile ya Lacca nayo ingekuwa tuta...
Yote ya yote sisi tulipoteza game so tunajipanga na game ijayo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yani apa tunatoa pole uku tunacheka@Ollachuga naona upo kwenye jukwaa lako la kujidai.
Arteta ata leta mapinduzi mkuu. Tumpe muda..Itategemea na usajili utakaofanyika wakileta ushubwada tunashuka hata daraja msimu huu
Ndo tumeanza sasaHuna aibu???
Au hujui maana ya neno MFULULIZO???
juzi umechabangwa 2 kwa buyu na Soton,
Majuzi umekula kichapo na bournmouth....then ukashikishwa uwambaza za Everton chuma 3 leo unakuja hapa unasema mnashinda mfululizo aiseeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanafki aisee wamejaa
Ishu sio makombe kama ni hvyo ASTON VILLA ni kubwa kuliko sisi sababu kombe kubwa ni champions league Arsenal sasa ikipangwa na timu yoyote wanafurahi ila ukiambiwa WOLVES umepangwa nayo hulali kama WOLVES anagombania top 4 na sisi tunaelekea kushuka Daraja ndo maana nkahitimisha WOLVES ni kubwa kuliko sisi Arsenal kwa sasakwa huo "u-sasa" wolves ina vikombe vingapi?
wolves imeshuka daraja mara ngapi?
wolves ina thamani ya shingapi?
wolves wana sponsors wa ngapi?
wolves wanabajeti ya shingapi? kwenye usajili na uwendeshaji wa club!
Unaongea tu bila kufikiria vizuri!
Sema wolves wapo kwenye kiwango kizuri kuliko arsenal! KWA KIPINDI HIKI, sio kusema wolves ni timu kubwa kuliko Arsenal, Bro acha miemko unajua maana ya ilo neno "KUBWA".
umetumia vigezo gani kuthaminisha wolves na arsenal, bro wacha miemko mdundo.
Unajua arsenal na wolves ina wafuasi wa ngapi?, mpaka sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo tukipata injury ina maana tusiangalie Mpira ndo unachomaanisha sababu uwezo wa kushinda hatuna?hivi arsenal ina injury ngapi? kabla ya mechi ya chelsea...mbona ufikirii bro!
chelsea halikuwa hana sababu za maana kufungwa hii mechi, kwa sababu alikuwa amekamilika karibia maeneo yote.
kwa arsenal ya sasa yenye majeruii wengi, ilikuwa 50 kwa 50 na kushinda au ku-draw kwetu ilikuwa inapewa nguvu kwa sababu tulikuwa nyumbani! wala sio head to head history.
jaribu kuwaza basi kidogo ndo ukomenti afu punguza hasira na miemko.
hii ni soccer, relax
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish Arsenal ashinde ils sioni huo ushindi. Kuidhamini Atsenal ni sawa na kumdhamini drug user aache kutumia hata kabla hajaenda rehab.Hiyo game tunawasupport Arsenal kwa asilimia zote, mnyakue point 3 muhimu. Ikiwezekana tutawaazima baadhi ya wachezaji kama Kante, Rudger, Willan, mmalize biashara mapema
Sent using Jamii Forums mobile app