Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Barcelona walikuwa na uhakika kama Pep atakuwa kocha bora???Zizzou???Wenger alivyopewa mkataba ilijulikana angekuwa kocha bora????

Kila kitu lazma kiwe na mwanzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa mpoleee

We're Chelsea now ..karibu kwenye familia ya ushindi mfululizo ..kwa nin upate tabu?

#CFC


Sent using Jamii Forums mobile app
Huna aibu???
Au hujui maana ya neno MFULULIZO???
juzi umechabangwa 2 kwa buyu na Soton,
Majuzi umekula kichapo na bournmouth....then ukashikishwa uwambaza za Everton chuma 3 leo unakuja hapa unasema mnashinda mfululizo aiseeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana #STAMALA UYO
 
Barcelona walikuwa na uhakika kama Pep atakuwa kocha bora???Zizzou???Wenger alivyopewa mkataba ilijulikana angekuwa kocha bora????

Kila kitu lazma kiwe na mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nkasema hivi Arteta sijamkataa kabisa labda hukunielewa Pep Zidane hao uliowataja walipewa timu gani na zenye wachezaji wa aina gani na background yake ipoje?

Arteta kapewa Arsenal ambayo inaendelea kuzama yeye mwenyewe mechi 2 hajashinda sababu haieleweki either wachezaji wabovu au yeye mwenyewe hana experience sio kocha mzuri

mfano Everton ANCELLOTI kacheza mechi 2 na ameshinda zote mbili sababu ni ana experience na anaujua mpira na keshabeba EPL hvyo sio mbahatishaji linaeleweka

Hvyo hata sisi hatuna uhakika na Arteta na tumebaki kuweka hisia zaidi na zaidi kuwa tumpe muda mara mpira wake mzuri tunaishia kujifariji tu bila sababu

Mimi NINGEKUWA NDO CEO WA ARSENAL NIGEMBEBA ANCELLOTI HATA KWA MWAKA 1 MPAKA NIKAE SAWA THEN ARTETA ANGEKUJA WAKATI NIMEKAA SAWA KITIMU ILA KWA SASA NGOJA TUONE HADI MARCH NINI KITATOKEA SABABU BODI INAPENDA VITU RAHISI NA HAWAJUI MPIRA NDO MAANA HAYA YOTE YANATOKEA

LAZIMA TUAMBIANE UKWELI MASHABIKI TUSIPEANE MOYO WA KIJINGA ARTETA NI KAMA KAMARI TUMECHEZA WAKATI TIMU NI MBOVU NA HATUJUI EXPERIENCE YAKE IPOJE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha daah kiongoz inaonekana arsenal inakusononesha mnoo pole sana wengine tulishaamua liwalo na liwe tunaishi humo hatutoki hatuhami
 
Bodi haijui mpira au wewe ndio haujui mpira ?? ,unazungumzia Experience ya kocha, kwani Emery alikuwa hana Experience, mbona alifeli sasa ? , Huyo Ancelloti unayemsifia hapa na Experience yake mbona kafukuzwa Napoli au alikuwa hana experience wakati yupo Serie A ila EPL ndio ana-experience ?

Na kama kuna sababu za nje zilizomfelisha Emery, vilevile inawezekana kwa Arteta, Subiri mambo yakae sawa ndio umjudge kocha vinginevyo watu tunakuona una mambo yako binafsi.

Au Unaumia kufukuzwa kwa Emery nini mkuu,Au wewe ni mamluki tu wa Arsenal.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Yaani mimi nashangaa kweli.....dah

Hapa ndipo utakapomjua shabiki wa kweli....Uvumilivu ndio nguzo,hayo madhaifu yote tunayaona ila subra yavuta kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie tangu jezi zianze kuandikwa majina Mgongoni LIVER hajawahi beba ndoo 27 years now
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…