Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa mzee baba unalalamika nini hueleweki ujue? dirisha la usajili bado limefungwa sijui unatakaje mwenzetu, kama vipi sajili wachezaji wako wewe uwapeleke ili j5 tushinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lacca kaniangusha sana katika game hizi mbili,leo alikuwa na nafasi nzuri ya kufunga kama mbili za wazi kabisa,
Huyu Willock apelekwe mkopo hata bundasliga .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea wamewazidi karibia kila kitu Chelsea wana asilimia 54 ya possession wakati nyinyi mna 46, off target Chelsea wana 13 nyinyi 7, on target Chelsea 4 nyie mbili au mzee baba hauoni na kipindi Cha 2 ndo mlizidiwa kabisa baada ya kuingia jorginho.
 
Hilo silipingi, ila kushuka daraja hapana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kama Emirates tumefungwa mechi 3 mfululizo na away tumetoa droo 3 mfululizo jumla Mechi 6 point 3 kuna sababu gani ya kusema hatuwezi kushuka Daraja?mechi 12 tumeshinda 1 pekee sisi na NORWICH CITY ASTON VILLA AND WATFORD tuna utofauti gani ?kaka nakwambia jiandae kwa lolote Msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka timu inazama kaka ishu sio matokeo ya haraka Emirates mechi 3 mfululizo tumefungwa na away tumetoa droo mechi 3 mfululizo jumla mechi 6 point 3 sasa huoni kama tunaelekea kushuka Daraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea wamewazidi karibia kila kitu Chelsea wana asilimia 54 ya possession wakati nyinyi mna 44, off target Chelsea wana 13 nyinyi 7, on target Chelsea 4 nyie mbili au mzee baba hauoni na kipindi Cha 2 ndo mlizidiwa kabisa baada ya kuingia jorginho.
Tatizo naona wachezaji pia walijiamini kua hii gem washashinda wakatulia nyuma kukaba wakat hizo beki za kazi zenyewe hii timu haina yani mi nilkua nahesabu dakika nikijua goli litaingia mda wowote huwez kushinda kwa kutegemea kukaa nyuma ukabe na hao wakabaji hauna
 
Sasa kumbe unaelewa tatizo kwamba kikosi si kizima halafu unamtwisha mzigo wote kocha..... Kweli leo mechi ya pili tu na beki mwenyewe mustafi halafu kakutana na timu kubwa unamtwisha zigo la lawama hivyo....kwa hiyo ww lengo lako nn afukuzwe au..
Ishu ni kuwa hata kocha hana experience hvyo ni guarantee hana uhakika wa kutuvusha kipindi hiki ishu ya wachezaji inaeleweka ila kwa sasa ndo ana hicho kikosi na alikubali kuja kufundisha it means alijua anaweza nao kupata matokeo shda inakuja January ni wachezaji wangapi wakubwa watakuja ARSENAL?kwa timu inayozama kama hii hawa wachezaji ndo tutamaliza nao Msimu huu labda tutapata mchezaji 1 pekee ila kwa sasa tusijidanganye kabisa utapata wachezaji January

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo, full time possession kaongoza Chelsea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atalaumiwa tu. Kuna makosa mengine ya kijinga.

Dakika ya 70, why dont you bring in fresh legs?? Umeng'ang'ania Nelson. Pepe yupo nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…