Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mzee baba wewe si kocha.. arteta ndio anajua kila mchezaji strength & weakness zake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Matteo ndo moja ya sababu sisi kuwa wa 12 hapo na akikaaga na Toreirra huwa Kati panavuja kama maji hilo linafahamika na haina ubishi hyo sehemu inahitaji usajili mkubwa ila ni bahati mbaya Xhaka hayupo inabidi acheze yeye ila nakuapia kama leo Chelsea wanataka ushindi hapo ni sehemu ya kwanza yenye udhaifu mkubwa
Nelson sina la kusema ila kwa akili ya kawaida je Nelson ni mzuri kuliko Pepe?labda kama Arteta kabanwa na sheria ya ligi lazima kuwe na Waingereza kadhaa kwenye kikosi labda ila zaidi ya hapo ni labda ana lake jingine ila Pepe ndiye msumbufu hata mabeki huwa wanamuogopa na kutaka kumchezea rafu za kumvunja miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo arsenal mnafungwa na Chelsea mkijitahidi Sana draw hamna viungo wazuri wakuwashinda kante na kovacic lakini aina ya mfumo wenu pamoja na uchezaji wenu sio mzuri wakuifunga Chelsea.
 
Dah! Wewe jamaa bana... jifunze kuandika kwanza kisha acha kubet na pesa za mawazo.
 
daah aisee ngoja tuhifadhi maneno ila hapa navuta picha msimu ujao hii timu itakuaje
 

Mzee umeona yule mtoto nelson anavyozingua! Kapoteza mipira kadhaa ya muhimu!! Tukiwa katika move ya kwenda kufanya shambulizi anapoa!! Hasogei juu, anajivuta pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…