Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nimeisikiliza interview yake yote jamaa ameongea vitu vya msingi sana
Huyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.Nimeisikiliza interview yake yote jamaa ameongea vitu vya msingi sana
Jamaa anajitambua sana
Upo sahihi ndugu yanguHuyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.
Tatizo tunaloliona kwa sasa (ubovu wa mabeki na viungo) ulianza toka enzi za mzee Wenger. Hatukua na recruitment nzuri ya kupata watu sahii kwenye position hizo.
Timu yetu on paper inaweza kuonekana nzuri ila ukweli mchungu ni kuwa tuna wachezaji wengi wa kawaida. Ili kutoka hapo na kusahisha makosa ya nyuma, tunahitaji muda wa kuunda kikosi cha ushindani.
Hivyo ndugu zangu gunners tuwe wavumilivu, tusiweke matarajio makubwa kwa sasa. Tujipe walau misimu miwili, kwenye mpira hakuna shortcuts.
COYG, #HATUTOKI_HATUHAMI#
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atatusaidia sana!.. Jamaa watu wanamkubali sana!.. Sijawahi kuona assistant coach anayepigiwa chapuo na kuongelewa sana na watu kama huyu!.. Huyu kutakuwa na kitu kweli ndani yake!.. Naamini msimu ujao tutaanza kufaidi matunda yake!..Huyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.
Tatizo tunaloliona kwa sasa (ubovu wa mabeki na viungo) ulianza toka enzi za mzee Wenger. Hatukua na recruitment nzuri ya kupata watu sahii kwenye position hizo.
Timu yetu on paper inaweza kuonekana nzuri ila ukweli mchungu ni kuwa tuna wachezaji wengi wa kawaida. Ili kutoka hapo na kusahisha makosa ya nyuma, tunahitaji muda wa kuunda kikosi cha ushindani.
Hivyo ndugu zangu gunners tuwe wavumilivu, tusiweke matarajio makubwa kwa sasa. Tujipe walau misimu miwili, kwenye mpira hakuna shortcuts.
COYG, #HATUTOKI_HATUHAMI#
Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta sio kocha wa muda huu ni wa Msimu ujao maana yake ni kwamba msimu huu tushafeli hilo linaeleweka hatuna viungo wala mabeki kabisa next season akisajili basi hapo tutaanza kumuangalia rasmi kwa sasa tumalize top 10 hilo ndo lengoHuyu jamaa kuna vitu anavyo, atatusaidia ila apewe muda na resources za kutosha.
Tatizo tunaloliona kwa sasa (ubovu wa mabeki na viungo) ulianza toka enzi za mzee Wenger. Hatukua na recruitment nzuri ya kupata watu sahii kwenye position hizo.
Timu yetu on paper inaweza kuonekana nzuri ila ukweli mchungu ni kuwa tuna wachezaji wengi wa kawaida. Ili kutoka hapo na kusahisha makosa ya nyuma, tunahitaji muda wa kuunda kikosi cha ushindani.
Hivyo ndugu zangu gunners tuwe wavumilivu, tusiweke matarajio makubwa kwa sasa. Tujipe walau misimu miwili, kwenye mpira hakuna shortcuts.
COYG, #HATUTOKI_HATUHAMI#
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa, Arsenal kama ni kocha umefata tayari.
Imarisheni beki na kiungo.
Vinginevyo mtamhariba CV huyu kocha.
Pamoja na hayo,
Unai alikuwa kansa , hivi unajua ndan ya miez 18 kapewa £200m na kakosa hata kupata kikosi cha kwanza
Umeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.nyie Arsenal wajinga sana Pep katumia pound Million 600+ kuitengeneza man city ya ushindani nyinyi mnalalamikia pound 200 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.
Hizo 600+ Mumeo Guardiola alitumia ndani ya miezi 18? Na hatujasema kua lengo letu tulingane kikosi na mumeo Guardiola tumesema hata kikosi cha kwanza hakua nacho. Jifunze kubalansi shobo.
Mkuu naona umemkata mtu utepeUmeanza kwa matusi usishtaki kwa mods.
Hizo 600+ Mumeo Guardiola alitumia ndani ya miezi 18? Na hatujasema kua lengo letu tulingane kikosi na mumeo Guardiola tumesema hata kikosi cha kwanza hakua nacho. Jifunze kubalansi shobo.
Manchester United is still there weka akilini hiloHuyu atatusaidia sana!.. Jamaa watu wanamkubali sana!.. Sijawahi kuona assistant coach anayepigiwa chapuo na kuongelewa sana na watu kama huyu!.. Huyu kutakuwa na kitu kweli ndani yake!.. Naamini msimu ujao tutaanza kufaidi matunda yake!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hukuona tweets za wanaomjua Ljungberg?Wanaomjuwa wanatuhakikisha tumepata chuma, ila wenzangu na mimi wale wa Buza sasa..!!!View attachment 1298866
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Kwahiyo Ljungbarg kwa kipindi hiki amekuwa namatatizo gani?Kwahiyo hukuona tweets za wanaomjua Ljungberg?