Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
last 32 we gonna face olympiakos
Kwa sasa Wenger na Unai ni makocha wazuri mliopata, ila tatizo ni falsafa ya maboss
Ona hapa.Tatizo nyie mashabiki wa ARSENAL mnaamini kikosi chenu ni bora mnamuona pepe ni messi, saka ni continyo, gunduzi ni modric.
Mawazo yenu mnaamini kocha akija na mfumo mzuri basi mtabeba ubingwa. Kumbe tatizo sio kocha bali ni wachezaji uwezo wao mdogo.
Sioni Arteta akivumilia makelele ya mashabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unai sio kocha ni kocha wa ovyo kutokea dunianKwa sasa Wenger na Unai ni makocha wazuri mliopata, ila tatizo ni falsafa ya maboss
Sio hivo mkuu, ni kweli kuna wachezaji mizigoTatizo nyie mashabiki wa ARSENAL mnaamini kikosi chenu ni bora mnamuona pepe ni messi, saka ni continyo, gunduzi ni modric.
Mawazo yenu mnaamini kocha akija na mfumo mzuri basi mtabeba ubingwa. Kumbe tatizo sio kocha bali ni wachezaji uwezo wao mdogo.
Sioni Arteta akivumilia makelele ya mashabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Emery yule ni kiazi ,Arsenal ilikuwa inaanza project mpya ,cha ajabu kavurunda. ..kila kituNa kunataarifa zinasema Arteta alikuwa kipaumbele kuja Arsenal baada ya wenger ila shida aliwambia mkinipa chance pia mnipe mpunga wa kusajiri. Huku Emery yeye alionekana ana elements za wenger kukuza kikosi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app
nakubaliana na ww leno ni mzuri sana ila defense ya arsenal ndiyo inamuangusha.Leno mzuri ule muwa wa zeruzeru alioucheza ukagonga mwamba alifanya kazi nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwezekana January walete beki visiki akiwepo Dayot upamecanoAtapewa hakuna tatizo