Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I don’t understand what those stupid Americans are thinking seeing this below average team
Namshukuru Guardiola kwa kutuonea huruma 3 ni afadhali hapa tuna mechi 4 zinazofuatia Everton Bournemouth (Away)halafu Chelsea na Manchester United (home)
Mpaka tarehe 31 tunaweza tukawa kwenye zone ya relegation battle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati jamaa walikuwa wanajipa moyo kwamba timu yao ina wachezaji wa maana ila tatizo ni kocha, Unai

Sasa kisingizio sijui kitakuwa nini sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kocha bado Arsenal inahitaji kocha sio kocha wa majaribio na awe na experience kubwa kwa sasa tuna mtu wa kusimamia mazoezi tu na huyo kocha akija apewe fungu la maana Arsenal ina wachezaji 4 tu first eleven basi wengine hata Norwich na Watford hawapati namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOMAAAAAAAAAA
Screenshot_20191215-214054_All%20Goals.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to TAKWIMU za EPL Arsenal ndio timu ya 20 na ya mwisho kuwa na midfield empty kabisa inauma sana na game ya West Ham tungefungwa sasa hivi pangekuwa hapatoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom