Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Kabisa. Luiz, chambers, papaa, Colazinack, Niles, Bellarlin, willock, Nelson. Hawa ni sehemu ya wachezaji ambao hawatakuwi kuwa tegemeo XI kama team kubwa Arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kocha bado Arsenal inahitaji kocha sio kocha wa majaribio na awe na experience kubwa kwa sasa tuna mtu wa kusimamia mazoezi tu na huyo kocha akija apewe fungu la maana Arsenal ina wachezaji 4 tu first eleven basi wengine hata Norwich na Watford hawapati namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app