Dah sikucheki gemu maana nilikuwa na stress na nilijua hawa washika mitutu wangeniongezea stress..... Kama mambo yalikuwa hivi safi sana....
Hahaha sawa ntalifanyia kazi....Siku nyingine wewe ukiona una stress basi pitia humu yaani ukiona ARV kacomment hapa basi wewe nunua Energy drink yako nenda hata banda umiza kacheck game ni lazma tushinde mkuu
Hongera sana mkuuBetting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumezaView attachment 1287529
Mkuu umelamba hiyo mipunga hapo...?Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa,nikaenda katika uzi wa Arsenal nikakuta ARV kacomment,narudi Parimatch nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu ukizingatia jamaa ana gundu filauni anasubiri.... nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumezaView attachment 1287529
Hujaangalia vizuri kikosi labda,rudi tena sofascoreWachezaji kama kolasinac hawakua hata kwenye sub ila wamecheza! Hii inakaaje kwenye sheria asee
True kabisaBrother muna fixtures ngumu sana
Hahaha kwani 4 3 3 ikiwa inatumiwa unadhani wale wa pembeni wanaitwaje? Liverpool si inatumia 4 3 3? Sawasawa na Barcelona? Unajua kama Messi na Salah waligombea tuzo ya LW?Siwez kuamini unachosema
Madrid wametumia 4-3-3 kipind cha BBC benzema hajawahi kutokea kushoto,
Kipind cha zidane pia , wametumia sana 4-4-2
Laca huwez kumchezesha winger aka offer inavyotakiwa labda yawe Yale Yale ya emery kumchezesha Toreira namba 10 ,
Sio Kila CF anacheza LW & RW , mfano Lewandowisk, Huwez kumchezesha winger ,au Giroud , lkn Mtu kama Sanchez alikuwa anacheza LW vzr na CF kiasi .
Hebu kafanye utafiti kama unakuwa umesahauHahaha kwani 4 3 3 ikiwa inatumiwa unadhani wale wa pembeni wanaitwaje? Liverpool si inatumia 4 3 3? Sawasawa na Barcelona? Unajua kama Messi na Salah waligombea tuzo ya LW?
Kwahiyo Benzema enzi za Ronaldo alikua ni RW, Bale LW. 4 4 2 imemfanya Benzema awe CF na Bale SS.
Huyo jamaa yuko sahihi mana nmetoka kuangalia kikosi kilichoanza jana kwenye official ac ya arsenal, ni kweli Kola hakuepo kwenye sub.Hujaangalia vizuri kikosi labda,rudi tena sofascore
Benzema hajawahi kuwa RW mkuu,Hahaha kwani 4 3 3 ikiwa inatumiwa unadhani wale wa pembeni wanaitwaje? Liverpool si inatumia 4 3 3? Sawasawa na Barcelona? Unajua kama Messi na Salah waligombea tuzo ya LW?
Kwahiyo Benzema enzi za Ronaldo alikua ni RW, Bale LW. 4 4 2 imemfanya Benzema awe CF na Bale SS.
Dah mzee kwahiyo wakati Ronaldo anakaa kati yeye anatokea pembeni alikua ni CF hivyo hivyo?Hebu kafanye utafiti kama unakuwa umesahau
Benzema hachez RW , labda uniambie alicheza lini
Nakupa lineups ya BBC
pia hata walipotumia 4-4-2 kwa zidane alicheza pacha na Cr7
Labda unikumbushe , Lini benzema alicheza kama RW ,Dah mzee kwahiyo wakati Ronaldo anakaa kati yeye anatokea pembeni alikua ni CF hivyo hivyo?
Sifa ya CF ni kwamba. Timu ikiwa inapigowa kona CF anakua sambamba na CB wawili wanaojaribu kuzuia counter. Kwahiyo unataka kusema muda kama huo Ronaldo alikua anarudi kukaba?
Kikosi kilibadilishwa baada ya berellin kutolewa katika wachezaji wanaoanza mkuuHuyo jamaa yuko sahihi mana nmetoka kuangalia kikosi kilichoanza jana kwenye official ac ya arsenal, ni kweli Kola hakuepo kwenye sub. View attachment 1287544
Yah Diego SimeonUkisema Simeon unamaanisha Diego Simeon?