Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipindi cha kwanza ilikuwa Arsenal ya Emery, cha pili Arsenal tunayoijuwa...
 
Nimesema goli la nne. Siyo goli nne
 
Nimesema goli la nne. Siyo goli nne
Yah kuna goli alitukosesha

Ila kama umegundua pepe amebadilika ,anamshukuru sana Freddie , Mara nyingi alikuwa akishafanya take ons anashindwa kupiga shuti, au linafeli ,

Pepe anasema chin ya emery hakuwa huru, kwa Freddie kaongezewa kitu


Hii chini ni board ya mazoez , kiukweli Martinel auba pepe tunapata flow nzuri ,

 
M mwenyewe nme sikitika mzee siamn kama aroon ndo kaandika hv au labda bado yuko high na ushindi wa jana, laca anae funga katka mazngra magumu leo una mchukulia poa kias hiki siamn
 
Ujue hata kipindi cha Emery Pepe alicheza namba ile ile na alikua anajaribu kupiga shots angle ile ile na alikua akikosa.

Yaani alikua anacheza namba sahihi tangu mwanzo. Alivyokua akikosa magoli tukawa tunasema hajazoea ligi, kusema hakua huru na Emery sioni kama ina mantiki. Wote tunajua left footer akitokea kulia anatakiwa afunge, same kwa right footer akitokea kushoto.
 
Ili uweze kufunga angle zile inahitaji mazoez, na mwalimu kukuongezea ujuzi, ndicho pepe anachozungumzia
 
Sasa mkuu huyo jamaa wa chumba cha pembeni hayumo humu JF🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
M mwenyewe nme sikitika mzee siamn kama aroon ndo kaandika hv au labda bado yuko high na ushindi wa jana, laca anae funga katka mazngra magumu leo una mchukulia poa kias hiki siamn
Simchukulii poa ,ila mbelen utakuja kunielewa namaanisha nini,

Timu inahitaji balance ,

Sasa martnell ni very very flexible , same to auba na pepe

Lazima kuna kitu utapata ,

Laca sio mbaya ,ila anakosa balance

Nimetoa mfano gunduz haendan kabisa na xhaka au na toreira kwenye midfield , lkn sio ni mbaya , kinachohitajika ni chemistry,

Most of fans waliomba sana laca awe dropped kwanza , ajaribiwe Martinel , laca ana umuhimu wake pia hasa hizi big match kwakuwa anawapa kash kash mabeki

Turud kwenye technical , Auba ili umfaid ni lazima acheze kama CF sio LW au RW , pepe constantly ni RW , na Laca ni CF , kwahiyo utaona wakicheza auba laca na pepe , Tunakuwa na CF wawili ,tunakosa LW asilia na ndio mwanzo wakukosekana balance ,

Mourinho aliwahi kusema hili kipind anavizia kazi Arsenal ,alisema akipata kazi ,atamrudisha Auba kama CF , automatically watabadilishana na Laca ,


Sasa una Martinel ni Mzuri LW, CF na RW kwa U sahihi,

Kwanini usiwachezeshe Martneli auba pepe ili upate fluidity ?

Kuna mech laca ataanza kama CF ,auba as LW ikigoma unamuingiza Martinel kama LW ,

Freddie anasikiliza ushauri ndio maana kam drop Mateo na kawarudisha Xhaka na lt11 dimba la kati ili kupata compact ktk midfield na inaonekana .
 
Laca ni kama Firmino kwa Liver, unaweza usione umuhimu wake ila uwepo wake unawarahisishia wengine kufunga
Kumbuka firminho alikuwa namba 10 , sio CF asilia ,wakati laca ni CF tu , utofauti unaanzia hapo ,
 
Sasa mkuu huyo jamaa wa chumba cha pembeni hayumo humu JF🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa alivyokua anashangilia zile kosakosa na yale magoli naamini humu yupo maana kuna jamaa hua anaandika kwa mzuka kweli kweli
 
Kumbuka firminho alikuwa namba 10 , sio CF asilia ,wakati laca ni CF tu , utofauti unaanzia hapo ,
Hakuna CF ambaye hawezi kutokea wing ya kushoto au kulia kutegemea na mguu wake.

Benzema alikua anatokea kushoto wakati Ronaldo yupo pale kama CF. Na Bale akawa anatokea kulia. Alipoondoka Ronaldo Benzema karudi kati.

Mandzukic alikua anatokea kushoto na Higuain anaachwa kati.

Kwahiyo Laca kama CF wengine kwake kutokea kushoto siyo shida. Sawasawa na Aubameyang alivyotokea kushoto game ya Europa.
 
Haters wanapita kwa mbali sana ,leo tonge nyama karibuni.
 
Siwez kuamini unachosema

Madrid wametumia 4-3-3 kipind cha BBC benzema hajawahi kutokea kushoto,

Kipind cha zidane pia , wametumia sana 4-4-2

Laca huwez kumchezesha winger aka offer inavyotakiwa labda yawe Yale Yale ya emery kumchezesha Toreira namba 10 ,

Sio Kila CF anacheza LW & RW , mfano Lewandowisk, Huwez kumchezesha winger ,au Giroud , lkn Mtu kama Sanchez alikuwa anacheza LW vzr na CF kiasi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…