Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Inaonekana anakuja Former playerAhahaaaaaa....Aroon
Kama kule mbele na hapo kati kati kikosi hatakibadilishaOur fixcture..
Next 6 matchesView attachment 1287301
Hapo Naona Arteta akiungana na Freddie na perAhahaaaaaa....Aroon
Jurgen Klopp hails Gabriel Martinelli as 'a talent of the century.
Klopp: “That’s really difficult to deal with these guys. Martinelli’s pretty much the same age but he’s a talent of the century, he’s an incredible striker, so it’s really difficult.”
Huge praises. View attachment 1287299
Nimeona habari ancellot anakuja arsenal na pia gemu yake na Genk huenda ikawa ya mwisho kuwa napoliHapo Naona Arteta akiungana na Freddie na per
Wachezaji wanampenda sana Freddie
View attachment 1287306
Our fixcture..
Next 6 matchesView attachment 1287301
Nilikuwa nataka nikalale sasa kwakuwa wewe umecoment hapa aiseeh hii game tunashinda maana wewe jamaa kila unalolitakaga halijawahi kuwa,
Hahahahahaha
Coyg
Haha aiseeMods toeni picha ya Emery hapo huyo mtu siyo kocha tena Maxence Melo Fang Invisible .
Tukiacha hilo.
We are supposed to play FROM the back not AT the back. Wachezaji hawafocus kupeleka mpira mbele, ni kama mtu anayejifunza kucheza PlayStation mpira. Akili inamwambia namna pekee sitofungwa ni huyu mwenzangu asipopata mpira na ili asiupate inabidi nipige pasi ila nikiwa kwangu.
Hii ni shida as ukicheza na timu yenye washambuliaji wenye nguvu na vishada kama Mane, Messi, Ronaldo, Vardy, Kane n.k. hapo ni kujitafutia matatizo.
Magoli yetu yamepatikana dk ya 60, 66 & 69. Kipindi cha kwanza chote tulitumia kumiliki, yaani kama vile kumiliki ndiyo lengo kuu la timu. Guendouz alipoingia akawa anajaribu kuvunja huo mwiko wa kutopeleka mbele mpira, kama kawaida yake.
Xhaka kapoteza mno mipira. Ni kama vile anatuadhibu kwa kumuamini. Kutokana na hilo tumejikuta West Ham ana attempts 10 na Arsenal 7, ingawa wote tuna on target 4 hii inamaanisha to play AT the back na Xhaka kukosea pasi kumetufikisha hapo.
Anyway, wewe jamaa wa chumba cha pembeni unapiga mno kelele wakati mimi mwanangu anataka kulala. Tuheshimiane, una mabinti wawili, mmoja kamaliza o level mwingine yupo la tano ukiendelea utakuta stori ya mmoja wao kwenye uzi wa tunda kuliwa kimasikhara.
Hili nalisema kila mara mkuu lakini sioni hata action yoyote...Jamani tuanzishe movement ya kutaka picha ya Emery ibadilishwe.
Jamani tuanzishe movement ya kutaka picha ya Emery ibadilishwe.
Jana balague anayekuja ni Former arsenal playerNimeona habari ancellot anakuja arsenal na pia gemu yake na Genk huenda ikawa ya mwisho kuwa napoli