nasri made us happy on sat!
Nyie Fat ArsenOOLs mkaribisheni kijana kwenu apa, bora yy post ya kwanza kaanza na jukwaa lenu, sio kama nyie mpaka mnapewa 'u-expert member' mmekomazwa na Jukwaa la Wakubwa huku mmekuja hivi karibuni.
BTW; Pocha; Hujachelewa sana, hamia tu RED DEVILS, hiki kijiwe HIKI hakina mvuto siku hizi, utakufa bure kwa presha. Wajanja wenzio woote wako kule.
Jamaa wanadefend sana....its as if hawana 4wards so far......
Hapa dawa ni kupiga goli la haraka tu
Arsene, Questt, RayB, Mtazamaji tuko pamoja wakuu, kila la heri.