Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu dogo Gibbs sijui ana tatizo gani????? Yaani hawezi maliza game 3 mfululizo.....
 
Huyu Van persie naye ni kama ana mguu mmoja
 
Wazee mpoo?

Nimekuwa kimya mno mpaka Rev Kishoka ameona.

Arsenal inabidi wafunge maana ikiwa Braga watafunga goli litaleta pressure kubwa.
 
Huyu nasri atakuja kuwa zaidi ya Zizzou kama hatakua Majeruhi......Dogo ni NOUMA.........
 
Nikiangalia dk zinavyokwenda naona hapa kunahitajika force nyingine
 
Kwa kuwa Braga "have nothing to loose"wanaonekana hawajali hata wakitoka sare. Arsenal lazima wafunge goli la kwanza.

Mpaka sasa Denilson haonekani kufanya chochote na Gibbs anatoka ametoneshwa mguu wake wa kushoto na Ebue anaingia.
 
He is a crap...JW anaweza kuliko huyu mtu....na amepewa much playing time than JW....Sijui ni Mbrazil gani asie na Improvements???????
 
Baada ya penalty kutakuwa na mvua ya magoli Van Persie atajaribu kufunga.
 
Robin Van Persie anafunga goli lake la kwanza msimu huu baada ya kukaa sana "bench".
 
Its a Nice play from eboue from the left wing....But delivers the so called " NOT A GOOD CROSS" But its a good display.....
 
Kwa kuwa Braga "have nothing to loose"wanaonekana hawajali hata wakitoka sare. Arsenal lazima wafunge goli la kwanza.

Mpaka sasa Denilson haonekani kufanya chochote na Gibbs anatoka ametoneshwa mguu wake wa kushoto na Ebue anaingia.

Denilson nadhani ni more defensive mildfield zaidi kuliko offensive ndio maana unaweza kuwa humuoni lakini yumo mkuu.
 
These BRAGAZ have the worst defenders in the Group....and we have the best attacking force in the Group but still we cant Break them????? why??????
 
Denilson nadhani ni more defensive mildfield zaidi kuliko offensive ndio maana unaweza kuwa humuoni lakini yumo mkuu.

Do u wana tell me he is like Gilberto da Sila????? No WAY???? he is never even quarter of that Gentleman's Qualities!!!!!!
 
Back
Top Bottom