Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

As for CHAMAKH, That was totally BLUNDER...........WHY?????? as b4, still frustrating......
 
Denilson nadhani ni more defensive mildfield zaidi kuliko offensive ndio maana unaweza kuwa humuoni lakini yumo mkuu.

Ni sawa mkuu lakini kwenye mechi kama hii Jack Wilshere angefaa kwani yeye ni attacking midfielder kungekuwa na magoli at least matatu mpaka sasa.
 
Ni sawa mkuu lakini kwenye mechi kama hii Jack Wilshere angefaa kwani yeye ni attacking midfielder kungekuwa na magoli at least matatu mpaka sasa.

Kweli Richard sikai lakini sometime attacking fball sometime imetucost. Postion tuliyopo leo sio nzuri kabisa ndio maana tunaweza tuione ile arsenal tunayojua. Priority ya kwanza ni tusifungwe. Anyway kocha atawapa darasa na tunaweza kuvuka kule wengine ni 0-0
 
So washikadau wenzangu jamvini any SUB????? as per ur Wishez though......
 
What the HELL?????????????????????????????????????????????????????
 
Yaani nimeshahau what the hell is a Clean sheet with this Arsenal..........................Really disgusting.......
 
Back
Top Bottom