Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Your browser is not able to display this video.
 
Wafiwa msijali hili zoezi la maturubai nitalifanya mwenyewe...kamati ya chakula ollachuga na king ngwaba watahusika,kamati ya vinywaji ndugu penison usituangushe....


Huku lembu utakuwa na kazi ya kumfuta machozi dullyjr na Aaron Arsenane

Mimi nitahakikisha wageni wote wanapata sehemu sahihi ya kukaa
 
hapa bodi ya arsenal wafanye mchakato haraka wakutafuta a qualified top manager atakayeweza kutatua tatizo haraka na asiyeingiliwa kikazi, defense na mildfield ni mbovu kupitiliza.
piga tathimini mechi zilizobaki kama wakiendelea na hali hii

9/12 westham (lose), 15/12 mancity (lose),21/12 everton (draw), 26/12bournemouth (draw), 29/12chelsea ( lose), 1/1 man u (draw)
arsenal itakuwa kwenye danger zone hapo lawama tuziwape kwa mmiliki na bodi ya arsenal wamezidi ubahili
 
kwamba arsenal waliona man u wanafaidi sana kwa ole.na wao wakampa timu fredie.

unai hana makosa
 
Kama jana Auba alikasirika kweli, jamaa sijui ni kimeo yupi, wakati Auba yuko kwenye kona zake za kufunga jamaa bila pressure akabutua mpira goal kick. Msimu ujao hao jamaa watasepa na Pepe atarudi Ligue one huko ndiko size yake
 
Arsenyani mnatia huruma, lazima mshuke daraja msimu huu.
Kisingizio kilikua kocha Unai sasa sijui mtajificha wapi. Hamna wachezaji mna makapi
 
Unai kaondoka, naona sasa hivi mbuzi wa kafara ni David Luiz, hakuna haja ya kutupiana lawama, kikosi kizima kina shida, january ni kufanya usajili wa nguvu !
 
Pole sana Aaron, we're still doomed. Msimu huu tukimaliza top ten tushukuru sana.
 
Vip Pepe kalee ana shot on target ngap? Wapi beki bora Luiz? Nakumbuka alisema anakuja arsenal kubeba makombe..

Uyu Auba tunaeza pita Naye msimu ujao
 
Naona Unai anakula kilaji kwa raha zake huko aliko.
Mlikuwa mnapiga kelele oooh sijui Torreira anapangwa out of position oooh sijui Ozil hachezi na kelele nyingi mbona mambo ni yaleyale sasa pamoja na UNAI kuwaachia kikundi chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…