ARSENAL VS B HOVE& ALBION
Ni mchezo wa pili huu kwa kocha wetu huyu wa mda Ljumberg ninefatilia jana mazoezi ya team yetu ata ufundishaji umebadilika kidogo kwa sasa
Unaona akifundisha team kumiliki mpra na kuwa na speed kurudi kutafuta mpra wakipoteza hii nimeona jana arsenal media kwenye kasehemu ka mazozezi ya jana
Hii inanipa taswira leo tunaweza fanya vizuri ni mtazamo wangu team selection siwezi zungumza sana ni swala la kiufundi zaidi lakini binafsi nilitamani iwe selection sahihi
Brighton sio wepesi pengine ni team ngumu kuliko hata norwich tunahitaji high pressing huku tukiwa na nidhamu kubwa kiulinzi kuepuka makakosa ya mara kwa mara natumaini ushindi unaweza patikana tukizingatia hayo